Hali ya uchumi yazidi kuwa ngumu, kampuni ya meli kupunguza wafanyakazi 30 kati ya 80

Hiyo kampuni ya huduma za meli inaitwaje??
Kampuni ya huduma za meli Leo imetoa notice ya kupunguza wafanyakazi 30 kati ya 80 waliopo
Kaimu meneja wa kampuni ndugu Erick Hamisi amesema kuwa amelazimika kufanya hivyo kutokana na hali halisi na amefanya hivyo kulingana na sheria kwa kutoa notice ya siku 30
Akizungumzia hali hiyo mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa bandari ndg Mohammed Rume amesema kuwa amesikitishwa sana na hali hiyo na kusema kuwa jambo baya kabisa ni kuwa wafanyakazi hawa wanafukuzwa wakati wanamadai malimbikizo makubwa ya mishahara yao
Amesema hiyo sio haki kabisa ni bora basi madai yao walipwe.
Chanzo: mwananchi
 
Back
Top Bottom