Hakuna ubishi tena, Davido ndiye mfalme wa Muziki wa Afrika

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,758
54,386
Suala la mjadala kuhusu nani ndie mfalme wa muziki wa Africa, limekuwa likichukua kasi.

👉Huku kila mmoja akivutia kamba upande wake, kuanzia east Africa kina king kiba, diamond na hata konde boy wote wamekuwa wakisifiwa na mashabiki wao.

Mpaka kule Nigeria wasanii Kama patoranking, burna boy, wizkid, tekno na davido kote SI haba.

Lakini kwa Sasa ni Kama ufalme huu ume angukia kwa davido, hii no baada ya kuachia album yake iitwayo timeless.

👉Ambayo imezidi kuweka na kuvunja rekodi mbalimbali, kwenye chati za muziki na dunia kwa ujumla
👉My favorite songs 👉feel
👉No competition ft asake
👉Feel
👉un available ft Musa keys
👉over Dem

I mean no malice to nobody


FB_IMG_16809982432462716.jpg
FB_IMG_16809981818263618.jpg
FB_IMG_16809982313275537.jpg
FB_IMG_16809984342466369.jpg
FB_IMG_16818163588710277.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom