Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

Kuna yule mbunge aliyesema amepigiwa simu na Makonda -Ni vizuri hayo mazungumzo yawe-downloaded ili yatolewe kama ushahidi
 
Kweli mfu utabakia kuwa mfu

Yani kusema watu wenyewe wanalala tu wengine ni wachekeshaji tu

Hajazalilisha bunge?????

Astakafiru daha
Sasa kashfa iko wapi hapo......wachekeshaji wapo, walalaji wapo tena kibao!
Mtu wa tatu ashamharibia Makonda....

Soon utasikia kinanuka, kagusa button sizo...

Mtetezi wa makonda mpaka pichu itakutepeta mwaka huu, na keshalikoroga mwenyewe na lazima alinywe
 
Sawa,nenda bungeni basi kawaambie wabungev vitu vingine vinatia hata kinyaa ukianza kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…