- Thread starter
- #61
Katika mpangilio wa aya ndani ya Quran. Aya ya kwanza iliyoruhusu waislamu wapigane imesema hivi:
2: 190. Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.