Katika nchi ya Demokrasia vyama vya upinzani vinakuwaga na UMUHIMU mkubwa sana na kazi yake kuu ni kuiweka serikali iliyoko madarakani katika UWAJIBIKAJI wake KITAIFA.Nilitegemea labda baada ya kuwa na vyama vingi vya siasa hapa nchini, basi nitaona kizazi kipya cha hoja na mawazo ambayo kamwe chama tawala kisingeweza kuyawaza!
Ajabu yake nimekutana na upinzani ambao agenda yao ni malalamiko na tuhuma tu bila kuwa na !awazo mbadala!
Nimeshindwa kuona faida ya kua na mpinzani ambaye hana la kumfanya tofauti na yule niliyemzoea!
Kama mwananchi wa kawaida analalamika na mbunge wake wa upinzani analalamika kwa jambo hilo hilo kuna faida gani ya kua na mtu ambaye anauwezo kama wangu?
Wabunge wa upinanzani wameshindwa hata kujitofautisha na wale wa chama tawala kwa kuhakikisha kua majimbo yao hayana changamoto zozote ukijumuisha na dalili za ukame!
Majimbo yote ya uchaguzi Tanzania yanafanana kwani vilio ni vile vile!
Naanza kujiuliza nini faida ya vyama vya upinzani kama na wao wanafanya Yale Yale wanayoyakosoa!
Majimbo ya wabunge wa upinzani na Yale ya ccm hawana tofauti yoyote! Sasa Luna haja gani ya kua na vyama vya upinzani kama hawana input yoyote ile!But unaona furaha Kwa kuwa na mbunge anayehongwa million 10 apitishe mwasada hatari Wa kwenda kumkandamiza aliyemchagua ?
acha kulialia.But unaona furaha Kwa kuwa na mbunge anayehongwa million 10 apitishe mwasada hatari Wa kwenda kumkandamiza aliyemchagua ?
Hawa watu wa ajabu sana, yaani MTU yupo radhi kusafiri miles away ili akapate media coverage! Anasahau hata changamoto za waliomchagua! Useless MP's!Unachosema ni kweli 100%. Hawana faida kabisa.
Kwanza waoga, pili wanachukulia ubunge kama ajira badala ya commitment yao kwa wananchi.
Kama Serikali wanaamini haiwasikii, Wanaweza kuja na mawazo chanya kwa wananchi wakatumia rasilimali za eneo lao kujenga uchumi wa mwananchi mmojammoja. Na hii ndio zawadi kubwa ya mbunge kwa wananchi wake.
Mbunge wa Moshi anatamani awe wa bukoba kwa sababu tu kuna vitu vya kuongelea huko.
Hii dhambi wataulizwa siku ya mwisho
Mkuu unaweza ukawa uanakipinga kitu lakini kwa wakati huo huo unaona faida yake kwa namna flani!Sasa wewe kada wa CCM unataka wabunge wa upinzani wa nini? Jamani unafiki huu
wanaudhi sana. Unakuta wengine wanatembea geita wakati hata kijiji au mtaa wa jimbo lake hajawahi kuonekana.Hawa watu wa ajabu sana, yaani MTU yupo radhi kusafiri miles away ili akapate media coverage! Anasahau hata changamoto za waliomchagua! Useless MP's!
Nilitegemea labda baada ya kuwa na vyama vingi vya siasa hapa nchini, basi nitaona kizazi kipya cha hoja na mawazo ambayo kamwe chama tawala kisingeweza kuyawaza!
Ajabu yake nimekutana na upinzani ambao agenda yao ni malalamiko na tuhuma tu bila kuwa na !awazo mbadala!
Nimeshindwa kuona faida ya kua na mpinzani ambaye hana la kumfanya tofauti na yule niliyemzoea!
Kama mwananchi wa kawaida analalamika na mbunge wake wa upinzani analalamika kwa jambo hilo hilo kuna faida gani ya kua na mtu ambaye anauwezo kama wangu?
Wabunge wa upinanzani wameshindwa hata kujitofautisha na wale wa chama tawala kwa kuhakikisha kua majimbo yao hayana changamoto zozote ukijumuisha na dalili za ukame!
Majimbo yote ya uchaguzi Tanzania yanafanana kwani vilio ni vile vile!
Naanza kujiuliza nini faida ya vyama vya upinzani kama na wao wanafanya Yale Yale wanayoyakosoa!
wewe unaona fahari kuwa na chama ambacho kinaongwa bilioni 10 ili kimpitishe mtu hasie na sifaBut unaona furaha Kwa kuwa na mbunge anayehongwa million 10 apitishe mwasada hatari Wa kwenda kumkandamiza aliyemchagua ?
Nilitegemea labda baada ya kuwa na vyama vingi vya siasa hapa nchini, basi nitaona kizazi kipya cha hoja na mawazo ambayo kamwe chama tawala kisingeweza k