H hardboy JF-Expert Member Dec 2, 2016 794 620 Feb 16, 2017 #2 Hilo jambo huwa nina washouri watu wengi nilio karibu nao.Kukata tamaa ni dhambi.Mungu ana njia na muda wa kumpa mja wake.Hivyo tusikate tamaa.
Hilo jambo huwa nina washouri watu wengi nilio karibu nao.Kukata tamaa ni dhambi.Mungu ana njia na muda wa kumpa mja wake.Hivyo tusikate tamaa.
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,547 Feb 16, 2017 #3 Kwa kweli asante sana kwa kunitia moyo siku ya leo
M mbangulla New Member Feb 16, 2017 2 3 Feb 16, 2017 #4 Duu kweli, unatakiwa uwashe matumaini mwenyewe ya kufanikiwa
1562013 JF-Expert Member Jan 3, 2017 851 799 Feb 16, 2017 #5 Sio kwa Tanzania hiii...mazingira mazingira
APEFACE JF-Expert Member Oct 1, 2016 5,179 9,048 Feb 16, 2017 #6 Usiwe na TAMAA na usikate TAMAA..............
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Feb 16, 2017 #7 1562013 said: Sio kwa Tanzania hiii...mazingira mazingira Click to expand...
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,547 Feb 17, 2017 #8 1562013 said: Sio kwa Tanzania hiii...mazingira mazingira Click to expand... Wewe lalamika sisi tunasonga mbele , shauri yako
1562013 said: Sio kwa Tanzania hiii...mazingira mazingira Click to expand... Wewe lalamika sisi tunasonga mbele , shauri yako
bushland JF-Expert Member Mar 6, 2015 7,015 4,982 Feb 17, 2017 #9 ISIS said: Wewe lalamika sisi tunasonga mbele , shauri yako Click to expand... Truu maan
norbit JF-Expert Member Jul 30, 2007 835 700 Feb 17, 2017 #11 Ndio maana anang'ata, kumbe kaishi sana na mifugo.
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,286 15,524 Feb 17, 2017 #12 Kwa umri huohuo alokua nao kapita kote huko?
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,478 70,593 Feb 19, 2017 #13 Ni Tanzania pekee ambapo KUKATA TAMAA NI DHAMBI ( kitu ambacho hata kwenye maandiko hakipo)
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Feb 19, 2017 #14 Academy kacheza saangapi? Huko jeshini kaenda saangapi na hao kuku kauza saangapi? Au umri wake aliupiga pause?
Academy kacheza saangapi? Huko jeshini kaenda saangapi na hao kuku kauza saangapi? Au umri wake aliupiga pause?