Hakika Makongo juu ni bora kuliko!

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Geographic ya makongo juu, ndio imenifanya niseme hivyo!
Mimi ni mkazi tangu mwaka 1997 mpaka sasa bado naishi huku, vivutio mbalimbali ikiwemo upepo mzuri, mandhari ya kuvutia, ulinzi na usalama upo vizuri na ukitaka kuhakikisha kama ni kweli njoo uone hata baada ya mvua kunyesha dk 5 tu kukavu! Hakika naisifia makongo!
Tatizo ambalo linasumbua huku ni barabara tu, kuhusu maji tayari mambo yapo sawa!
Karibu makongo juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…