Haji Manara: Turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
466
1,137
Manara mwenye code za Ubingwa ametia neno sasa
=================
Alhamdulillah 👏🏻👏🏻

Humiliation 😭😭

Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu, Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United.

Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyang’anywa bado Ubingwa wetu.

Yes kuna Siku kila kitu hukataa ndani ya Uwanja hata mkiwa bora kiasi gani, Hiyo ndio football tunayoijua sisi,

Muhimu turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza.

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Snapinsta.app_465882133_937446881666589_5834930419606452241_n_1080.jpg
 
Back
Top Bottom