Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Kubwa lakini halionekani sijui limekaa pabaya?!Tena Hili Jipu Kubwa Sana Yaani. ..
Kuna sehemu zingine watakwama tu.Inawezekana lakini CCM itashinda kesi,kwasababu Mahakama ni CCM kwa asilimia kubwa..Refer kesi ya mita 200.
Kwi kwi kwi....That case (200 meters) apears to be still very fresh in your memory!Inawezekana lakini CCM itashinda kesi,kwasababu Mahakama ni CCM kwa asilimia kubwa..Refer kesi ya mita 200.
Mimi naamini wapinzani wakisimamisha mawakili makini kuna mengi yataibuka na yatakosa majibu.Mali za ccm na serkali hazikuwa na hati wa umiliki wa maandishi but n order na zawadi
Sasa wanatafuta hati cjui kama Itawezekana kwa mahakama pekee
Hilo linahitaji ushiriki wa bunge pia na executive
Mita 200 imekuuma sana wewe nyumbu.tatizo uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mnaaminishwa visivyowezekana mnakubali.mbona kesi ya kuburuza maiti barabarani mlishindaInawezekana lakini CCM itashinda kesi,kwasababu Mahakama ni CCM kwa asilimia kubwa..Refer kesi ya mita 200.
Hapo walishinda kwasababu aliyefungua kesi ni babamdogo wa Marehemu.Mita 200 imekuuma sana wewe nyumbu.tatizo uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mnaaminishwa visivyowezekana mnakubali.mbona kesi ya kuburuza maiti barabarani mlishinda
Sasa nyie si ndo mnasemaga kuwa hizo ni mahakama za ccm sasa mnaziamin kweliWanasheria hili haliwezekani?
Mwenye kudai mali fulani ni yake,akathibitishe hivyo Mahakamani kwa kuonyesha vithibitisho (documents)vinavyohalalisha umiliki wake ikiwa ni pamoja na risiti za malipo, hati za viwanja, n.k
Haya nayo ni majibu!
For sure,Kwi kwi kwi....That case (200 meters) apears to be still very fresh in your memory!
nyumbu night ni wewe na tensa hili jipu lazima tulitumbue hata kwa (msumeno)Mita 200 imekuuma sana wewe nyumbu.tatizo uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mnaaminishwa visivyowezekana mnakubali.mbona kesi ya kuburuza maiti barabarani mlishinda
Sasa safari hii kwanini msimpe baba mkubwa wa marehemu hii kesi ya kudai mali zinazomilikiwa na CCM...mpeni yeye ndiye afungue hii kesi ili nae ashinde.Hapo walishinda kwasababu aliyefungua kesi ni babamdogo wa Marehemu.