Habarini za jion wapendwa ngoja niende moja kwa moja kwenye tatiz langu

ukhuty

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
16,877
41,961
Jamn wajuvi naomben msaad wen mm nikitaka kumtumia mtu meseg pm haziend naambiwa maneno haya NOTE SUPPORT MODULE PRIVATE MESSAGE
Na hata nikitaka kufungua meseg zangu za nyuma hazifunguki yaan mpaka mtu anitext pm ndo naziona tatizo nn ndugu nisaidien
 
Hii naona ni tatizo za jf scripts. Kuna jamaa hata mimi nilishindwa kabisa kuwasiliana naye kwa pm huku
 
unatumia tapatalk? (app ya jf) jaribu kutuma direct bila app
Mkuu Nilijaribu kutumia App ya android. Ikakataa kabisa.

Halafu hivi kuna tapatalk inayofanya na WindowsPhone ? Hizi xap file nazozipata online zote feki
 
 
Nina wivu sana, sitaki uchati na wengine nataka uchati na mimi tu basi!!........ Ukiniahidi kuwa utachati na mimi tu basi hakika nitaifungua hiyo pm yako!
Haya nitachati na na ww tu basi nisaidie mwenzio
 
Kuna swali uliulizwa hujajibu, jaribu kutumia browser kama google chrome badala ya application ya Jf. Sign in kwa ID yako halafu PM mtu. Hii itasaidia kujua tatizo lipo wapi, aidha kwenye account yako au hiyo application.

Kuhusu Application jaribu ku update, au unaweza ku uninstall halaf install tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…