GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja,muda si mrefu ukweli utajulikanaChanzo cha habari please
poaLisemwalo lipo kama halipo linakuja,muda si mrefu ukweli utajulikana
iko hivi kilichobaki ni kutangazwa t hadharani but niyonzima tushamalizana nae tangia jana mchana...sasaiv tunahangaika na wanasheria wetu kuangalia jinsi gani tutavunja Mkataba wa saimon msuva na yanga mana ametuambia hajalipwa mshahara wake wa miez mitatu sasa...Ndani ya Saa chache au siku mbili au tatu tu zijazo Mchezaji mahiri wa Kiungo wa Yanga FC Haruna Niyonzima anategemea Kusaini kandarasi ya kuichezea Klabu ya Simba SC kwa miaka miwili ( 2 ) kwa ada ambayo itavunja rekodi nchi nzima.
Nawasilisha.
Hili povu sio la dunia hii!!Mikia hawana akili hata siku moja. Badala ya kutulia wajenge timu kila siku kusajili wachezaji wapya tu, wengine wanaozea benchi wengine wanaachwa ndani ya msimu mmoja. Wendawazimu hawa wanadhani kusajili wachezaji lukuki ndio siri ya mafanikio. Hawana habari kwamba wachezaji wakizoeana ni faida kwa timu. Upuuzi mtupu, wala hawafiki kokote Malimbukeni wakubwa
View attachment 523524
Pole na povu mkuuMikia hawana akili hata siku moja. Badala ya kutulia wajenge timu kila siku kusajili wachezaji wapya tu, wengine wanaozea benchi wengine wanaachwa ndani ya msimu mmoja. Wendawazimu hawa wanadhani kusajili wachezaji lukuki ndio siri ya mafanikio. Hawana habari kwamba wachezaji wakizoeana ni faida kwa timu. Upuuzi mtupu, wala hawafiki kokote Malimbukeni wakubwa
View attachment 523524
HahahahahahMikia hawana akili hata siku moja. Badala ya kutulia wajenge timu kila siku kusajili wachezaji wapya tu, wengine wanaozea benchi wengine wanaachwa ndani ya msimu mmoja. Wendawazimu hawa wanadhani kusajili wachezaji lukuki ndio siri ya mafanikio. Hawana habari kwamba wachezaji wakizoeana ni faida kwa timu. Upuuzi mtupu, wala hawafiki kokote Malimbukeni wakubwa
View attachment 523524
sizitaki mbichi hiziHuyo nionzima bora aondoke tu,kwanza simpendi.mchezaji gani kazi kutoa mipasi kwa adui na kurudisha mipira nyuma,simba chukueni toaaaa hapa
Ina maana Lwandamina hajashauri Yanga msajili wachezaji? Mbona hamjasajili na wote mliowapa milioni tano za 'kishika uchumba' wameenda kusaini kwingine? Endelea kusubiri ushauri wa kochahuu usajili ni ushauri wa kocha au sababu pesa zipo???