SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Inelekea unaongea umelewaWatu uliowaona wanalia kule Arusha walikuwa wanalilia watoto siyo Mic, na wale uliowaona wanalia Moshi walikuwa wanamlilia Ndesamburo siyo Mic. Nyinyi watu wa ajabu sana mchango wa Ndesamburo kwenye jamii ni mkubwa kuliko hayo manguo ya kijani mnayosambaza wakati wa uchaguzi.
RIP NdesaPesa.