barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Alafu kibaya, Makonda wala hana muda wa kumjibu.Inashangaza pale mtumishi wa Mungu anavoanza kuingilia mambo ya siasa.......
Alafu kibaya, Makonda wala hana muda wa kumjibu.Inashangaza pale mtumishi wa Mungu anavoanza kuingilia mambo ya siasa.......
Yaani wewe ndio ovyooo aliemuanza mwenzake no nani...Alafu kibaya, Makonda wala hana muda wa kumjibu.
Ila hushangai kiongozi wa kisiasa kuingilia mambo ya dini¡Inashangaza pale mtumishi wa Mungu anavoanza kuingilia mambo ya siasa.......
Amani kwa lipi?Ameni kubwa kwa Baba Askofu Gwajima.
Kwa upakoAmani kwa lipi?
Ehh YESU KRISTO JITETE MWENYEWE!Gwajima anahangaika bure tu na mambo yasiyomuhusu. Anamuhubiri Makonda badala ya Mungu, alafu na waumini wake wanaitikia ameeee...eennn!! Ajabu sana