Kifurukutu JF-Expert Member Aug 29, 2013 4,628 6,669 Mar 7, 2017 #141 Francis12 said: Wewe unavyopendekeza umekuwa nani wewe? Click to expand... wacha kukurupuka! wewe unajibu tu umekuwa wapi
Francis12 said: Wewe unavyopendekeza umekuwa nani wewe? Click to expand... wacha kukurupuka! wewe unajibu tu umekuwa wapi
DUBULIHASA JF-Expert Member Nov 26, 2016 4,299 7,851 Mar 7, 2017 #142 Namkubali sana Lema kwa sababu anajiamini, jamaa ana ujasiri mkubwa sana sio siri ILA NAMKUBALI KWA HILO TU. ANGETUFICHULIA SIRI KIDOGO KWAMBA JE KATIKA MAOMBI YAKE BADO AMEONA JPM ANAWEZA KUTOKWA NA UHAI HIVI PUNDE AKIENDELEA NA JEURI YAKE.
Namkubali sana Lema kwa sababu anajiamini, jamaa ana ujasiri mkubwa sana sio siri ILA NAMKUBALI KWA HILO TU. ANGETUFICHULIA SIRI KIDOGO KWAMBA JE KATIKA MAOMBI YAKE BADO AMEONA JPM ANAWEZA KUTOKWA NA UHAI HIVI PUNDE AKIENDELEA NA JEURI YAKE.