Godbless Lema kuzungumza na wananchi wa Jiji la Arusha siku ya Ijumaa

Mkuu pita maeneo mengi Arusha mjini watu wamemchoka sio siri wengi wanasema wazi tulichagua kichaa hatutarudia kumpa.Wanasema hata kama ni CHADEMA watachagua lakini sio LEMA awe mwingine.
acha uongo..arusha ipi unayoiongelea wewe?ongelea nafsi yako wengine wala hatujamchoka
 
Mawazo ya kina Mnyeti bana
 
why uf
why ufurahie uvunjifu wa katiba (freedom of expression)? mtu wa arusha mjini azungumze na kujadili ya arusha mjini tu, mtu wa liwale azungumze na kujadili ya liwale tu? lengo au faida ni nini? kuna kitu kinafichwa (udhaifu).
 
Sasa kwa taarifa yako mi nimeota wewe umekufa,tumekuweka kwenye jeneza then tukawa tunaenda kukuzika,,,,swali je,umekufa kwel hapo ulipo??
 
Sasa kwa taarifa yako mi nimeota wewe umekufa,tumekuweka kwenye jeneza then tukawa tunaenda kukuzika,,,,swali je,umekufa kwel hapo ulipo??
HUJAMALIZA NDOTO BADO, MAANA UMEISHIA MNAENDA KUNIZIKA SASA MLIPOFIKA MAKABURINI NIKASTUKA KWA UOGA ULIONAO UKAANGUKA UKAFA BASI IKAONEKANA LILE KABURI LIWE LAKO TUKAKUFUKIA, VIPI BADO UNAOTA AU? ANGALIA NA SHUKA LIPO SAWA AU ITABIDI LIFULIWE?
 
Awe makini tu na maneno atakayotoa,maana ijumaa iko karibu na weekend, na weekend hakuna dhamana!
 
Umedai zile milioni 50 za kijiji kutoka kwa raisi? Na je umedai vile viwanda ulivyohaidiwa? Gharama za maisha kupanda huoni umeona hayo ya lema tu alafu unajihita muona mbali. Ukiandika comment nyingi angalia matumizi ya herufi na ndiyo akina bashite nyie?
 
TAFRISIRI NYINGINE YA MATUMIZI YA HERUFI KUBWA NI KUPASA SAUTI KWA WATU WENYE MATATIZO YA MASIKIO KAMA WEWE:
 
Anacho kibali cha Polisi?
Kama hana ni bora akaombe asije akarudi ndani tena
Au kama anacho pia namsihi ajiepushe na kauli tata asije pia akarudi Kisongo
Kufanya mkutano wa hadhara huitaji kibali cha Jeshi la Polisi unatakiwa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi waje kuweka ulinzi kwenye mkutano wako uwe unasoma hata katiba
 
Mkuu pita maeneo mengi Arusha mjini watu wamemchoka sio siri wengi wanasema wazi tulichagua kichaa hatutarudia kumpa.Wanasema hata kama ni CHADEMA watachagua lakini sio LEMA awe mwingine.
Maeneo mengi ya Arusha ni wapi huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…