Gharama za makato kutoka Skrill kwenda Airtel money

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,396
5,374
Habari wakuu

Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money!

Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?

Screenshot_20230913-200207.png
 
ni airtel money tu au kuna mtandao mwingine inakubali? nina vidola picoworks nivitoe
 
Sasa Dola moja unadhani watakukata ngapi Withdraw nyingi utaona makato kawaida
 
Duuh skrill wameweka Airtel?? Ngoja niangalie..Alafu mkuu mbona muamala wa skrill wanakata 2Usd wewe 1us unaona ni kubwa?
 
Duuh skrill wameweka Airtel?? Ngoja niangalie..Alafu mkuu mbona muamala wa skrill wanakata 2Usd wewe 1us unaona ni kubwa?
Ndio wameweka huduma ya kutoa kwa mobile wallet.

Sijasema ni kubwa boss, ila nimejaribu kutoa 1USD na wao wamekata 0.5USD kama charges, ambapo gharama ya makato imekuwa nusu ya kiwango cha pesa nilichotoa, hapo huoni kiwango ni kikubwa boss??

Ipo hivi, ni sawa na wewe utoe 10USD alafu makato iwe 5USD, sidhani kama ni kiwango kidogo kama ulivyosema.
 
mkuu skrill na neteller wote wameweka airtel money sasahiv kwenye withdraw, makato ya airtel money ni 1.5% ila kiwango cha chini lazima kianzie 0.5usd mfano kama kitoa hela ambayo 1.5% yake ni chini ya 0.5 wao wanawewka o.5 ndo mfano wa hiyo scenario yako, ukitoka hapo kwenye conversion ya usd kuja tsh wanakata 4.49% (wameiweka katika mfumo pale kwenye exchange rate)
 
Back
Top Bottom