Gharama ya finishing ya nyumba

nashukuru mkuu kwa 1 mpaka 6

hiyo 7 ni either kulingana na experience ya mtu. kuna baadhi ya nyumba milango ya vyumbani ni soft board na vyooni na jikoni ni pvc yenye kioo tinted
Soft board/flash door.
Nashukuru unaelewa unachokitaka, ungezingatia post yangu yenye vipengele 7 hapo juu plus baraza 100% utapata estimates sahihi mkuu
 
Nikusaidie mkuu, ungeeleza;
1.kiasi cha rooms+ukubwa wake
2.dirisha ngapi na ukubwa wake
3.milango mingapi
4.jiko?..ukubwa wake
5. Dining?.ukubwa wake
6. Lounge?. Ukubwa wake
7.vyoo 2.ukubwa wake?

Hapa utapata makadirio 100%
Mkuu wangu
chief,

ni kweli lakini nipo mbali sana na vipimo,ramani na site
 
Mkuu unafikiri ukisema 180sqm kila jibu la swali lako litajibiwa?
Kwa kiasi fulani, sababu sqm inaweza toa makadirio ya ripu,rangi,tiles na gypsum

kama mkuu Evarm alipotoa bei ya madirisha na milango nafanya kuzidisha kwa idadi
 
Mkuu hiyo sio bei ya aluminium, ni dirisha la chuma (grill) liwekwalo kabla hujaweka aluminium. Huku kijijini walinitengenezeakwa bei hiyo
 
Shuli nimeona ukisema upo tayari kutoa msaada wa kiufundi kule senyenge vs. matofali
 
180sqm
Gypsum 180/2.9 = 62
Screws 5 box
Gypsum powder 2 bags
Mikanda (cornice)
Rangi 20 ltrs
Msasa p120 3mt
hiii hesabu bila blandaring
+255742556656
+254717609960 whatsapp
 
Back
Top Bottom