Gesi kupanda tarehe 6 Feb 2017

Kwa nini mtumiwe nyie wakala na siyo kuutangazia umma wa watanzania juu ya kusudio la kuongezeka kwa bei? ni kitu gani kilichotokea hadi kupandishwa kwa gharama ya gesi kuanzia hiyo tarehe?
 
wakati gesi haijavumbuliwa mtwara mbona bei ilikuwa chini ukilinganisha na baada ya uvumbuzi
Gesi tunayotumia majumbani inatoka nchi zinakochimbwa mafuta (LPG) yani ni matokea ya kusafisha mafuta, hii ya kwetu ni gesi asilia (Natural gasi) wakii process inakuwa LNG ambayo nafikiri kama washaanza kutumia majumbaninni watu watu wachache sana ambao ambao wapo kwenye mradi wa majaribio.
 
nashukuru mkuu kwa elimu,ubarikiwe sana
 
5b8cb485043cf3d2a61eafdf66044d11.jpg
 
Bila shaka ukatwaji wa miti kwa ajili ya soko la mkaa litakaloongezeka utahusika. Pia Mvua zitazidi kutuaga bye bye
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiii tuende wapi jamani?
Gesi kutoka elfu 17-18 hadi 21-22?
Hapo bado vyakula vimepanda.
Dah!
Halafu tunategemea kuhifadhi mazingira.Mkaa utapanda pia kwa wale watumiaji
 
Kwa mwendo huu ngoja nisogeze mbele muda wa kuoa maana si kwa maisha haya nilivyo bachelor kwa mwaka natumia mitungi miwili ya kg 15 nikioa inakuwa kila mwez mtungi mmoja
 
Bora watu warudi kwemye matumizi ya mkaa
Maana serekali haina juhudi za kulinda mazingira na kudhibiti ukatiji wa miti kwa kuweka bei rafiki ya gas ambayo watu wote wanawez kuimudu!
 
Mkaa Nanunua 10000 Gunia Gesi Ndo Ile Ya Kwenye Mitungi Cjui Unaweka Na Sufuria Juu Wanajaza Elfu 18 Au Ndo Wanauza Bei Hiyo
 
Back
Top Bottom