Habari wanajamvi ninapenda kuwa tangazia kuwa kwa mtu yeyote mwenye shida ya kununua mbwa aina tajwa hapo juu ni mbwa wa aina yake na pia n mbwa pekee ambao unaweza kuwa train wakacope na mazingira ya binadamu wanapatikana kwa bei 500000 wanafaaa kwa ulinzi majumbani na hata maeneo mengine yasiokuwa na usalama
Tafadhali mwenye kuhitaji 0625554142
Dah? Nimewatamani sana awa mbwa. Nakumbuka nilifuga awa mbwa mwaka 2004. Wazuri sana katika ulinzi, Sema sasa ivi nipo katika nyumba izi za kupanga natamani kibanda changu cha kuishi kingekuwa tayari ningechukua lakini nakutafuta tuyajenge

Wana weeks ngapi? Na chanjo ushawapatia. Alafu jitaidi wasikae katika sakafu watapata ugonjwa wa Pavon (mapafu) wakae katika banda la mbao na sio sakafu
Wana weeks ngapi? Na chanjo ushawapatia. Alafu jitaidi wasikae katika sakafu watapata ugonjwa wa Pavon (mapafu) wakae katika banda la mbao na sio sakafu
Kwa mbwa wa Pitbul Lazima wakuuzie mbwa koko, wale ni vigumu Sana kwa apa Tanzania kuwatambua, maana mbwa wengi sio pure breed ya izo mbwa. Lakini unaweza Pata ila kwa Germany Shepherd mwanangu ni Bomba unapata full pure breed yake