Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,908
2,889
Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme.

Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania.

Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
 
Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania Ina rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme.
Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania.
Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
Ndiyo maana Tanzania itaendelea kuwa masikini kwa ujinga huu
 
Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania Ina rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme.
Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania.
Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
 
Back
Top Bottom