Gazeti maarufu duniani, Washington Post, laichambua Tanzania

Kipindi hatuandikwi kwa MAZURI je tulikuwa tunakula ASALI NA MAZIWA????......let them go to hell we don't care about their criticism....

This is Bashite's brain thinking capacity!!!
Have you read the paper between the lines? Au ndo huo Ubashite wa kupata Zero kila somo including English=0; Swahili=0;Civics=0 and all the rest!!!!!

Juzi Magufuli alikuwa akitamba mbele ya Rais wa WB kuwa Tanzania INASIFIKA SANA HUKO NJE NDO MAANA WB kamwaga pesa lukuki!!!Sifa za kitoto kabisa!
Hivi kuna faida gani kujenga Flyover ya mabilioni ilhali watu wanalia na njaa, ukame, migogoro ya Wakulima na Wafugaji ikiwemo matetemeko ya ardhi kama huko Kagera mpaka kesho Wahaya wanalala nje????
Tanzania ni nchi ya 3 duniani kuwa na watu wenye huzuni!!!Hizo sifa nzuri za Tanzania kusifika huko nje zi wapi? Tufike mahali tuache unafiki!!!
 
Ukisoma hiyo habari unajua kbs haijaandikwa na Mzungu, bali ni chadema, Zito Kabwe &Co. ndiyo waliopeleka hiyo Habari na Mzungu hana muda wa kusoma huo upuuzi ni kama tu Tundu Lisu anavyojipeleka DW Swahili, hakuna Mzungu anajali!
 
Gazeti ni Washington Times ila mwandishi wa makala ni jirani yangu hapa tu Uyole, nasikia naye ni anamiliki mchanga wa madini uliokamatwa majuzi, ....huu ni mfano tu, read between the lines.
 
Weka na Jina LA mwandishi wa article



Navigation


Constantine Manda


I am currently a PhD student in theDepartment of Political Science at Yale University.
Prior to Yale I was the Senior Research Analyst at Twaweza. I worked on Randomized Controlled Trials aimed at improving education outcomes in Tanzania. The experiments are collectively called KiuFunza, a portmanteau of the Swahili words that mean "thirst to learn". Part of my work also involved liaising with internationally acclaimed research institutions such as IPA, J-PAL, CGD, CEGA, among others.
I write academic articles and policy briefs for publication, and also contribute on a popular youth-centered blog called VijanaFM as well as the Washington Post's Monkey Cage.

I also periodically teach an introductory course on impact evaluation at the University of Dar es Salaam's Economics Department and at the Economic and Social Research Foundation (ESRF).
I am a World Economic Forum Global Shaper originally with the Dar es Salaam Hub (since 2013) but currently with theNew York City II Hub (since 2015).

I was a CEGA Fellow (Fall 2012) at theUniversity of California at Berkeley and worked with CEGA-affiliated Professors and PhD students at the University of California at Berkeley's Economics Department.
I am also a member (2015-2018) of the Research and Development Advisory Committee on Basic Science at Tanzania'sCommission for Science and Technology (COSTECH).
I have a Master of Public Policy degree from the University of Chicago, and aBachelor of Arts in Economics from Xavier University.
Please click here to download my CV.
 
Na huyu Constantine Manda ni mtanzania. Eti gazeti "maarufu duniani" laichambua Tanzania.
Tatizo lsko ni kutotaka kuelewa au kutokuwa na uwezo wa kufikiri hatua moja mbele.
Nakuchallenge na wewe kaiandikie Washington Post nikuelewe.
Hakuna gazeti duniani linajiandika lenyewe bali wachambuzi waliobobea.
Angekuwa ameandika mzungu, jinsi akili yako ilivyojidharau pengine unge fikiri tofsuti.
 
Mtutolee upumbavu mweshaambiwa trump hatoi misaada Sasa ilo gazeti linawahusu nin,, tuache akili Za janja janja acha tuitengeneze Tanzania wenyew,,,,,
 
Back
Top Bottom