Gazeti maarufu duniani, Washington Post, laichambua Tanzania

Kipindi hatuandikwi kwa MAZURI je tulikuwa tunakula ASALI NA MAZIWA????......let them go to hell we don't care about their criticism....HAKUNA JIPYA HAPA
Sawa, hatujali wanachosema, lakini madhara yake si yanaonekana wazi? Waziri wa fedha kakiri kuwa bajeti ya maendeleo imefikia chini ya 30% kubwa zaidi kwa vile wafadhili wamekataa kutoa fedha. Kwa makusanyo ya ndani, hata bajeti ijayo itakuwa ndoto kutekelezeka. Madhara yake watu wa kawaida ndiyo wanaumia zaidi, lakini mashangingi ya wakubwa yanatamba barabarani kutwa kuchwa.
 

Jamaa yetu hjali wala hasikii la Mtu. Ndiyo maana anaogopa kwenda Marekani na Ulaya anaogop kusutwa kuhusu haki za binadamu.
 
Jamaa yetu hjali wala hasikii la Mtu. Ndiyo maana anaogopa kwenda Marekani na Ulaya anaogop kusutwa kuhusu haki za binadamu.
Muhimu ni kusikia, kutafakari na kuchukua hatua stahiki.
Forewarned is fore armed!
 
Hayawahusu wakati kila siku mnaenda kuhemea kwao!

Siku ukivuka hata hapo namanga utaelewa politics za duniani zikoje.

Yes. Bongo tuna matatizo yetu lukuki. but don't be fooled to think wao hawana. Tunaoishi nayo tunayajua.
 
Nadhani Mh Rais amesikia na sasa tutaanza kwenda vizuri ni mtu mzima naye, atangulize hekima, busara na uongozi unaofuata sheria pia asisahau uongozi shirikishi na kuweka uadui wa kampeni pembeni. Tukiwa wamoja na kunia mamoja tutafika tu.
 
Huyu jpm sio siri moyo wangu haumpendi. Mipango yangu mingi ya halali kaikomesha uchumi wangu umedumaa na kurudi nyuma kwa kasi. Sina cha kueleza zaidi, sijawahi shiriki kwenye halamu hata siku moja na namba naisoma
 
Mti wenye matunda urushiwa mawe kila nchi na mambo yake wanatuonea wivu waTZ JPM chapa kazi husuda zina wasumbua
"Third unhappiest people in the world"

Nani akuonee wivu wewe? Serious eti mti wenye matunda!? Matunda gani hayo yanayoenewa wivu!!?

Kwanza ungejua nchi yenyewe hii hata wanaoifahamu nje ya bara la afrika ni wachache sana usingekuwa na mawazo hayo ya kuonewa wivu kwenye hamna.
 
hata ndan ya afrika
 
Rwanda imesemwa sana lakini Uimara wa kagame uliwashinda hawa watu mpaka wakaufyata walithubutu hata kumwendea kumhoji Leo mbona hatuwasikii. Miafrika ikiona hivyo inadhani inapendwa sana. Waafrika hawawezi kufanikiwa bila kuwa na raisi mwenye mkono wa chuma kwani kila limfaalo mzungu kiukweli si limfaalo mwafrika .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…