Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 12,337
- 11,387
Alipe madeni ya ndani ili kuwe na mzunguko wa fedha mapato ya kodi yaongezekeMna mwaribu Rais Wetu kwa kumpa sifa Asizo zistahili
Alipe madeni ya ndani ili kuwe na mzunguko wa fedha mapato ya kodi yaongezekeMna mwaribu Rais Wetu kwa kumpa sifa Asizo zistahili
Nilisahau kukuuliza. By the way SIFA hizo zinamstahili NANI kwa mawazo yako?Mna mwaribu Rais Wetu kwa kumpa sifa Asizo zistahili
Mambo yakiwa sawa. UCHUMI hujishughulikia wenyewe. Madeni ya ndani YATALIPIKA tena haraka tukishirikiana kuona mali yetu INARUDISHWA. Usiwe na wasi wasi.Alipe madeni ya ndani ili kuwe na mzunguko wa fedha ili mapato ya kodi yaongezeke
Anastahili zipi?Mna mwaribu Rais Wetu kwa kumpa sifa Asizo zistahili
Ameshaanza kulipa anamalizia.Alipe madeni ya ndani ili kuwe na mzunguko wa fedha ili mapato ya kodi yaongezeke
Nami nimemuuliza swali hilo hilo. Pengine ana wake ambaye angestahili sifa hizi.Anastahili zipi?
Asiyejua maana HAAMBIWI MAANAMna mwaribu Rais Wetu kwa kumpa sifa Asizo zistahili
Bora gazeti hilo kuliko,kuliko magazeti yetu mengine ambayo kutwa kuchwa ni kumchora akiwa kichwa kimechongoka.
Labda mr whitehair.Nami nimemuuliza swali hilo hilo. Pengine ana wake ambaye angestahili sifa hizi.
You bet. Who knows.Nahisi pengine.Labda mr whitehair.
Mabano. Wow!
Nilicheka tu, lazima tuwe na sense of humour...Mabano. Wow!
Ni ukweli usiopingika.Nilicheka tu, lazima tuwe na sense of humour...
Ila sio siri, huyu JPM kama kweli tutampa mkono na yeye kufanya maamuzi mazuri na magumu, haki ya nani in 10 yrs time, tutawaachia vumbi manyang'au ...
Njaa si KUIBIWA bali ni HALI ya HEWA. Tutafika wakati umwagiliaji utapewa kipau mbele. Na kwa kuwa watu watamudu pembejeo za kilimo maana watakuwa na hela nyingi.Hilo tuliache kwanza. TURUDISHIWE HELA yetu TUINUE maisha ya Watanzania.kwahyo tumesha sahau njaa nk kwenye hili
Hata Siku moja mbwa hawezi kuwa mkali bila ya mafunzo ya mwenye mbwa. Hivyo huwezi tenganisha mafanikio ya jpm na ccm.Bravo JPM bana, CCM ya nin sasa?
hakuna kufurahia ujinga huu kwa kumpata mwizi mmoja tuuNjaa si KUIBIWA bali ni HALI ya HEWA. Tutafika wakati umwagiliaji utapewa kipau mbele. Na kwa kuwa watu watamudu pembejeo za kilimo maana watakuwa na hela nyingi.Hilo tuliache kwanza. TURUDISHIWE HELA yetu TUINUE maisha ya Watanzania.
Ila ACACIA wana mambo ya kitoto sana, wakaanza na yale yale ya mlungula, kupindisha maneno, kuleta za kuleta humu na magazetini, Raia wapi, tumechachamaa wizi wizi, wakazidisha kwa wanasheria uchwara, oohh tutashitakiwa sijuwi nini, raia wapi, duh, wakaona maji mazito, kumbe kweli dola ya TZ sio kama ya siku zile, wakafyata, wakaja tukae chini...hahahaha, balaa kabisa, sasa hii ita send message to all those corporations in TZ, that the wind has changed, the people have changed, it has be a win win situation on both parties, otherwise wapeleke upupu wao kwingine watuachie rasilimali na maliasili, haziozi bana, wakija vizuri poa tu, ila si kihivi..Njaa si KUIBIWA bali ni HALI ya HEWA. Tutafika wakati umwagiliaji utapewa kipau mbele. Na kwa kuwa watu watamudu pembejeo za kilimo maana watakuwa na hela nyingi.Hilo tuliache kwanza. TURUDISHIWE HELA yetu TUINUE maisha ya Watanzania.