Ni kweli Mzee anachapa kazi.I wish wote walio chini yake wayajue na kuyashika maono yake.Bravo Magufuli
Bravo. CCM
Unaweza kufafanua maana ya DEBE TUPU?"Debe tupu halikosi kutika"
ndicho alichofanya Magu
Eti unaitwa UHURU wa habari na kujieleza. Wachore tu maana HAWATABADILISHA maono ya Magufuli. Ama vipi mkuu?Bora gazeti hilo kuliko,kuliko magazeti yetu mengine ambayo kutwa kuchwa ni kumchora akiwa kichwa kimechongoka.
Bravo Magufuli
Bravo. CCM
La kuongeza kiwa kila mtu atakuwa mzalendo na TUVUMILIE kidogo tu mambo yatakuwa mazuri sana. nina imani hiyo.Bravo Magufuli
Bravo. CCM
Tukubali kuwa Rais Magufuli ndo Mwenyekiti wa CCM. Mafanikio ya nchi na heshima yetu haiendi kwa CCM pekee kama chama bali kwa Rais wetu na kwa Watanzania wote then chama kinakuja baada.Bravo JPM bana, CCM ya nin sasa?
Wengi wameisoma namba mpaka Wazungu wameisoma piaNaamini msimamo MKALI aliouchukuwa rais Magufuli wa KUITETEA nchi yake dhidi ya KUONEWA KIUCHUMI ambao wengine waliuona ni kama anakimbizana na upepo/Chasing after wind umeanza kuzaa matunda.
1. HESHIMA kama TAIFA inaanza KURUDI hatua kwa hatua. Hadi kumfanya mkuu wa migodi husika AJE YEYE mwenyewe KUIMBEMBELEZA Tanzania. Hilo tayari ni jambo linaanza kuipa HESHIMA nchi yetu.
2. Wawekezaji wa kweli itawafanya KUIHESHIMU nchi hii na HAKUTAKUWAPO tena ubabashiaji wa kutunyonya.
3. Badala ya kupewa vitisho vya mbalimbali sasa TUNABEMBELEZWA.
Ndo maana gazeti la mwezi huu wa June la New African: Linalosomwa kote duniani lilisema Katika front page yake huku likiwa na PICHA ya RAIS MAGUFULI nami nanukuu
" Tanzania:
AFRICA'S NEW RISING STAR President Magufuli""/Tanzania RAIS Magufuli NYOTA INAYOANZA KUNG'AA AFRICA".
Na katika makala hiyo, mmoja wa waandishi wa MASUALA kiuchumi Mr Neil Ford anasema si muda mrefu Tanzania itakuwa juu sana Kiuchumi na KUHESHIMIKA si Africa tu bali KOTE DUNIANI.
Akilinganisha na nchi zingine za Africa Mashariki Tanzania KUNA UNAFUU mkubwa wa MAISHA na hata bei ya BIDHAA ziko CHINI kuliko nchi zinazoizunguka.
Na si muda mrefu huenda UMASKINI UTATOKOMEZWA kabisa nchini Tanzania hivyo kuifanya nchi hii KUHESHIMIKA katika bara ZIMA la Afrika.
Amina na Amina.Amina
Ni kweli kabisa. Ukimwona MZUNGU akija na PRIVATE JET yake KUMBEMBELEZA rais Magufuli, ujue Sasa TUNAANZA KUHESHIMIKA.Wengi wameisoma namba mpaka Wazungu wameisoma pia
Asante Magu
Kwa upande wa kuujenga uchumi unajua sana
Wewe unaishi wapi. Ama ni wale mliokuwa MKINGOJA Tanzania ISHTAKIWE. Jua kuwa hilo halipo.Maroboti bado munaendeleza kazi ya kusifia Makinikia
Siku moja moja punguzaga ujinga hata kidogo basi nawewe, inaonekana kwenu muna dhiki iliyotukuka mpaka unyayoni lakini wewe bado tu unaendelea kutukuza ujinga. Afu ukute ni mkubwa kwenu.Maroboti bado munaendeleza kazi ya kusifia Makinikia
Mkuu. Si mimi ndo NINAYECHAPISHA hilo gazeti. LINACHAPISHWA UINGEREZA.Mna mwaribu Rais Wetu kwa kumpa sifa Asizo zistahili
Hiyo ni kali huenda itamwingia sawa sawa. Naona hajielewi.Siku moja moja punguzaga ujinga hata kidogo basi nawewe, inaonekana kwenu muna dhiki iliyotukuka mpaka unyayoni lakini wewe bado tu unaendelea kutukuza ujinga. Afu ukute ni mkubwa kwenu.