MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,067
- 1,204
Hii ni agenda nzito sana...na inabebwa na wenye nguvu....kwa maoni yangu...viongozi wengi wa kidini, hasa mirengo ya kimagharibi wanabig slot kwenye hili....maana wameshindwa kabsa kabsa kulikemea hilo jambo hadharani..na kulikataaa kabsa kabsa....sasa kitu hiki kinaenda kuwa mila na taratibu zinazokubalika kabsa huko magharibi.
Kwa upande wa mashariki ya mbali japo uwepo wa vitendo haupingwi lakin angalau adhabu zao ni kali sana pale unapogundulika...! Kwa maana hyo, ili agenda hii ikubalike mashariki huko...basi ni muhimu kuzivuruga..na kuingilia mila zao ama kwa hiari au kwa nguvu..!
Nasema tena hii agenda ni kubwa...iweje mwanaume ambinue mwanamme mwenzie halafu wote tuone ni sawa...! Dam it!