malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,122
- 3,437
Habar wakuu hivi gari zakwenda bagamoyo unapandia wapi mwenge au makumbusho au tegeta
Unapanda popoteHabar wakuu hivi gari zakwenda bagamoyo unapandia wapi mwenge au makumbusho au tegeta
Hand to mouth na thed weld dwellers bana. Mbona kidogo sana yani hata dollar moja haijafika. Inatakiwa ianzie elfu 50 huko. Anyways tumezoea ma limousine na ma private jet.1. Bunju, nauli 1,500/=
2 . Mbezi, nauli 3,000/=
Kiinglish majangaHand to mouth na thed weld dwellers bana. Mbona kidogo sana yani hata dollar moja haijafika. Inatakiwa ianzie elfu 50 huko. Anyways tumezoea ma limousine na ma private jet.
Tayar Nimefika kwakufuata ushauri huu..jf haishindwi kituMakumbusho, Mawasiliano (simu 2000), Tegeta Nyuki, Bunju, Mbezi kote huko unapata usafiri kuelekea Bagamoyo.
Mkuu nilikua naenda hillwaterNAONA UNAENDA KWA MGANGA
Shukrani mkuu nimepitia bunju kama mlivonishauri...jf ni nzuri sana1. Bunju, nauli 1,500/=
2 . Mbezi, nauli 3,000/=
Mkuu nilikua Morroco...jf wameoweza kunipa msaada wamenipa sio ww unashangaa maswali...wenye akili jf wamenipa muongozo nanimefikaUnapandia kutoka wapi? Maswali mengine bwana!!
Homgera sana mkuu kwa kufika salama.Mkuu nilikua Morroco...jf wameoweza kunipa msaada wamenipa sio ww unashangaa maswali...wenye akili jf wamenipa muongozo nanimefika