Mimi ni mgeni huko nipeni maelekezo gari nzuri za kutoka Dar kwenda Mbeya sehemu nzuri za kufikia mbeya mjini ambao malazi ni rahisi na usalama mzuri, nataka nikatembee Green city Pasaka hii, na sehemu gani nzuri za kutembelea?

There was a time you didn't know all that you know right now. Nobody used such harsh tones towards you I presume, safely.
Amefanya vyema kuuliza. Why?
1) JF is international. Whether within TZ or outside the borders, anayepanga safari ambaye hajui atapata kujua kwa kupitia Uzi huu. Hujaona Wachina, Wazungu nk wakitumia Google Translate kupata taarifa toka forums?
Ndg yangu kwa sababu hiyo ni planned trip ningekushauri fanya booking ya fast jet leo, gharama zake hazizidi 150,000/= kwenda na kurudi, one hour umetua Songwe. safe, cheap, accessible and comfortable..........