Gambia: Kemikali ya sumu iliyotegwa Ikulu yagundulika

Ndiyo Africa hiyo!yupo tayari kuua ili atawale!

That is the attitude of nearly all leaders in the African Continent save possibly of South African, the current administrations of Kenya, Nigeria, Ghana and Tanzania. God Bless Africa.
 
Waache Siasa nyepesi!

Dikteta Jammeh kishaondoka wawaachie Wagambia Nchi Yao wasitafute Visingizio vya kubaki kwa Muda Gambia ili wakwapue rasilimali zao
Umeona mkuu..wanazingua haoo na watu wataamini


Hivi linauwezo wa kuludi kwan hata auwe huyo rais

Huu ni uongo
 
Naona kama vile magufuli na yeye atakavyotoka ikulu 2021 kwa stail hii.

Msiseme nimekosea mwaka. Mgogoro utachukua mamiezi hadi 2021.
 
Huyu bwana ana roho mbaya sijawahi ona.... Pamoja na kukwiba Usd 11M bado tu lilitaka kuua mtu?
 
Ametuaibisha sana waislamu
Amejiaibisha mwenyewe.

Huyu jamaa alikuwa mbabe sana.Wapinzani na wale wote waliompinga alikuwa akiwatupa jela.Ukisikia kilichokuwa kikifanyika humo ndani,basi utakuwa umemuelewa vizuri.Gereza hilo yeye aliliita 'Hotel Jammeh.'
 
Wakuu, mnitoe ujinga kidogo, kwanini rais anaekuwepo madarakani, yaan wa chama kinachotawala muda huo, pindi wanaposhindwa katika chaguzi zao na kulazimika kukabidhi nchi kwa wapinzani, kwanini marais hawa (walio wengi) hukimbilia uhamishoni?

Nini huwa kinawafanya wakimbie?
 
Dhambi yake lazima iendelee kumtafuna.Hela zote kwenye hazina kachukua,magari ya kifahari kachukua,bado hajaridhika tu,kweli sikio la kufa halisikii dawa.

Muda wote aliong'anga'nia kuwepo ikulu ndio alikuwa anafanya hayo mambo, alikuwa anajipanga ni jinsi gani ataondoka, mipango ilivyokamilika kasepa kihiivyo alivyosepa
 
Halafu huju Jammeh ni Alhaji, inakuwaje anafanya mambo kama hayo ilhali alienda kuhiji na alipokua anaondoka alikua na kitabu vha dini na tasbihi mkononi
 
Sasa alitaka uchaguzi wa wananchi ufe alafu yy arudi au..,? Dah Afrika inaitajika kutawaliwa tena. Kama anaweza kumuuwa aliyechaguliwa na wananchi atawafanya aje raia wa kawaida..?
 
wacha afrika tuitwe waafrika...aisee..!!!??... jameh yahya ana roho mbaya mpaka shetani anamchungulia khaaa.... :mad: :mad:
 
Back
Top Bottom