Umeanza lini uafisa habari wa SGR?usizingatie sana mambo ya mitandaoni gentleman 🐒
seti za behewa zenyewe zilikuja zikiwa ndani ya shangazi kaja, hayupo wa kuzuia wew usisafiri na shangazi kaja yako uliyoijaza nguo zako za maana za safari 🐒
so we njoo tu huwezi kataliwa kuingia kwa treni na shangazi kaja yako...
Wanakuwa nayo ila wanasimangwa njia nzima kama mayatima.nenda sasa hivi stesheni kama upo dar au moro cheki wanaushuka na wanaopanda kama hawana hiyo mifuko unayoamini ni marufuku kusafiri nayo na SGR 🐒
Amesema hongera kwa kukamilisha. JPM hata kama hajatajwa kila mtu anajua Samia kakamilisha kazi aliyoiacha JPM.Tuache tabia ya kuhusianisha mafanikio ya serikali na mtu binafsi, kama ni suala binafsi basi hongera ziende kwa Magufuli.
Vv
Wewe huwaoni wanavyoshuka kwa kujishtukia na sura zao zimesawajika kama wamelamba saruji?anaewasimanga nani tena? na wakati wengi wao wanayo hayo mashangazi kaja 🤣
🤣 hiyo ni issue ingine sasa,tuna tofautiana vipato kupata mabegi mazuri, hata hivyo kuna aina ya mizigo Lazima utumie shangazi kaja au salfeti upende usipende 🐒Wewe huwaoni wanavyoshuka kwa kujishtukia na sura zao zimesawajika kama wamelamba saruji?
Salfeti ndiyo kama ile ya sandarusi iliyotumika kubebea "mahela" ya escrow?🤣 hiyo ni issue ingine sasa,tuna tofautiana vipato kupata mabegi mazuri, hata hivyo kuna aina ya mizigo Lazima utumie shangazi kaja au salfeti upende usipende 🐒
Bila kumtaja Mwendazake kwenye hili haya yote yatakosa baraka kwa Mwenyezi MunguWell done serikali sikivu ya CCM, chini ya kiongozi madhubuti, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, Raisi wa JMT kwa kukamilisha jambo hili la maana sana na la kimkakati kwenye uchumi wetu 👊💪
Asanti sana gentleman shilingi halali ya tanzania kwa kusaidia kuweka record sawa za jambo hili 👊💪
🤝
Inatakiwe kuwe na chumba cha mizigoIngekuwa bure tungesema ni keki ya Taifa, keki gani ya Taifa hutakiwi kuila ukiwa na shangazi kaja ? Hii keki si keki tena naona ni andazi lilidondoka kwenye mchanga alafu unapewa ule.