Fursa fursa fursa

Ngereza ally

Member
Mar 23, 2017
40
4
Karibuni katika fursa kupitia kampuni ya ELNET AFRICA,iliyoanzishwa nchini Tanzania.
ambayo imeandaa mfumo ambao humuwezesha mjasiriamali kuongeza kipato au mtaji wake zaidi na zaidi kwa kuwekeza kiasi cha TSH 10,000 TUU.

Whatsapp me on; 0657576488
nikuelezee kwa kina mfumo huu unavofanya kazi.

*******
elnetafrica.com *******
 
Mkuu ungeweka vitu hapa.
SOMA UJUMBE HUU KWA UFASAHA BILA KUCHOKA, UTAELEWA VIZURI KABISA FURSA HII, KISHA ULIZA MASWALI PALE AMBAPO UTAHITAJI UFAFANUZI.



HISTORIA YA ELINET AFRIKA ni MFUMO Ulioanzishwa 2016 nchini Tanzania
Na ofisi zao zikiwa Dar es Salaam imesajiliwa kisheria kabisaa

Lengo Kuu la huu mfumo ni kuisaidia dunia (jamii husika ya mahali husika iweze kujikwamua yenyewe kiuchumi kwa njia ya wanajamii wenyewe kuweza kusaidiana kwa kuinuana kiuchumi kwa njia ya KUCHANGIANA.

Sasa basi mnachangianaje na kunyanyuana kiuchumi / kifedha?

Ili uweze kujiunga na Fursa hii ya ELINET AFRIKA ni lazima ujiunge kwa kumpatia / kumchangia / kumtumia moja kwa moja kwenye simu yake (tigo pesa, mpesa, airtel money, ezy pesa, PayPal, Bitcoin, Western Union, Bank za kawaida n.k Kiasi cha shilingi 10,000 / = Yule aliyekupa / kushirikisha fursa hii ambaye atakuwa ni Mwanachama wa ELINET AFRIKA Ili akusajili. Fedha hiyo itakuwa ni yake moja kwa moja

Hivyo
Unatoa / kuchangia 10,000 kwa aliyekushirikisha Fursa hii (mama) ..

GRADE 1


Kisha wewe unatakiwa (kushirikisha) watu 6 .na kila mmoja atakupatia / kukuchangia na wewe 10,000 Tsh. ( za Kwako hizo huwarudishii) ZAKO

6× 10,000= 60,000/=

GRADE 2


Kwenye hiyo 60,000 unatakiwa kuchangia 20,000 kwa mtu alomuunganisha alokuunganisha wewe (Bibi/babu) , kwa lugha rahisi ni kwamba una changia hiyo hela kwa Babu/Bibi yako.

So, itakuwa
600,000-20,000= Utabakiwa na Tsh 40,000/=

400,000-10,000 (Mtaji ile uliyotoa kwanza )= 30,000/=

30,000 ndo faida kutokana na watu wako wale watano.

2. Hao 6...kila mmoja ataunganisha watu 6 kama ulivyofanya wewe...

Then itakuwa watu wako wa 6 Wakishirikisha wa 6 wao=36 Watu (wajukuu)

Na hao 36 Wakishirikisha wa 6 wao na wao watakuwa na 60,000 /=

Sasa basi kila mjukuu wako mmoja Atakuchangia Tsh 20,000 toka kwenye 60,000 zao kama wewe ulivyomchangia bibi yako 20,000 pale awali = SAWA??

Hivyo basi 20,000 X 36 wajukuu = Jumla ukapokea / changiwa kiasi cha Tsh 720,000/=

GRADE 3


Kwenye 720,000 yako Sasa hivi utamchangia wa juu yako zaidi 30,000= 720,000 -30,000= (690,000 hiyo faida yako utakula wewe na familia yako)

Hela inazidi kuongezeka tuuuu...

3) Na hao 36 kila mmoja ataunganisha 6 ndani ya timu yako utakuwa na vitukuu 216. Na wao pia watakuchangia 30,000 kila mmoja

Tsh 30,000 X216 wajukuu unapata 6,480,000.

GRADE 4

Hapo utatoa 400,000 YA kumchangia Tena wa juu yako zaidi inayobaki ni faida yako. Na hivyo kuruhusu kupokea 40,000 toka kwa vitukuu vyako 1296

1296 vitukuu X40,000= 51,840,000/= HIZO FEDHA NI ZAKO WEWE UTAKAZOZIPATA KWA KUCHANGIANA NA WENZAKO TU.

Tambua ELINET AFRIKA Kuna Grade ya 1 hadi GRADE 6. Kwenye hiyo grade ya 4 Tayari una Milioni 51,840,000. Ukifika Grade ya 6 utakuwa na Mamilioni mangapi?

KARIBU ELNET AFRIKA

NJOO TUCHANGIANE VITU VYA KUTUNYANYUA KIUCHUMI / KIFEDHA / ADA / UJENZI, MITAJI YA BIASHARA NA MAENDELEO MENGINE.

KUMBUKA ELNET AFRIKA haishiki fedha yoyote ya Mwanachama wake

KARIBUNI
 
Watu wengi wamekuwa wakichanganya bitcoin na kampuni za upatu za online kwasababu tu zinatumia bitcoin. iko hivi hizi kampuni zinatumia Bitcoin just as amode of transaction exchange tu, kama zilivyo other ways kama perfect money, payeer, paypal nk.

So kuna kampuni wanaziita hyip yaani high yield investment program ambazo husema uinvest kiasi fulani cha pesa kisha utatengeneza faida kila siku labda 5% lakini hawa huwa matapeli kampuni husurvive wiki moja mpaka miezi 3 kisha kampuni kukimbia na pesa za watu, kwa sababu njia wanayotumia kulipa ni kupitia bitcoins basi watu hufikiri bitcoin ni scam.


kwa nini huchagua bitcoin as amode of payment???
kama nilivyo eleza Mwanzo bitcoin haiko centralized means mimi naweza fungua online wallet nikatumia tu username then nikatumia hata bitcoin zenye thamani ya billions of money na within a short of time ukaipata bila bank kuu au serikali kujua nani katuma au nani kapokea na imekwenda wapi so ina privacy.

lakini pia bitcoin ni njia rahisi sana kwa ajili ya kufanya malipo online unahitaji account ya online wallet tu kisha unaanza kunua bitcoin kwa urahisi tu hata kwa kwa mpesa kupitia wakala kisha ukaituma popote unapotaka tofauti ungetumia bank ingekuwa process za kupa visa card, kisha ujaze form kwa ajili ya kutumia online nk. ndio manasas online bitcoin ndio inatamba.

for more details you can call 0713774746
 
Hahahaha umegundua Mkuu.... Huu ni utapeli wa DECI...

Kwa hali hii ngumu ya Magufuli watu wanafikiri ela zinatolewa kama njugu. Fanya kazi, acheni utapeli
Hujaijua hii ndio maana unaita deci, ifatilie hata kama huna nia ya kujiunga ili usipotoshe watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…