uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,280
- 15,665
Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani
Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu
1. Namungo wako katika mwendo mbaya wa ushindi 1 pekee katika mechi 10 (Ligi Kuu Bara)
2. Namungo wamefunga wastani wa mabao 0.67 katika michezo yao ya ligi
3. Timu ya Azam imefanikiwa kushinda mara 4 nyumbani kwa Ligi Kuu Bara kwenye HT/FT
4. Azam hawajafungwa katika mechi 16 kati ya 18 walizocheza nyumbani hivi karibuni (Ligi Kuu Bara).
5. Azam wameruhusu wastani wa mabao 0.67 katika michezo yao ya ligi ya nyumbani
***
Dakika ya 26'
Azam keshapigwa Chuma 2.
Azam 0 - 2 Namungo.