P pachanya JF-Expert Member May 20, 2012 2,002 2,144 Apr 16, 2017 #1 Friji brand ya BOSS Inauzwa. Bei 270,000 fixed (haipungui) Mahali ilipo kimara Dar es salaam Imetumika mwaka mmoja bado ipo kwenye muda wa warranty Mawasiliano; 0654505476
Friji brand ya BOSS Inauzwa. Bei 270,000 fixed (haipungui) Mahali ilipo kimara Dar es salaam Imetumika mwaka mmoja bado ipo kwenye muda wa warranty Mawasiliano; 0654505476
Distinction JF-Expert Member Sep 20, 2014 726 373 Apr 16, 2017 #3 watanzania na Duniani kwa ujumla hatujazoea hivyo, bora ungeanza hata na 300000 alafu ndo uje Ukomee kwenye hyo 270 yako.
watanzania na Duniani kwa ujumla hatujazoea hivyo, bora ungeanza hata na 300000 alafu ndo uje Ukomee kwenye hyo 270 yako.
BRO SANTANA JF-Expert Member Jun 15, 2015 1,845 2,247 Apr 16, 2017 #4 Bei nzuri sana hiyo jamani acheni majungu. Daaa sema nipo Mbeya hiyo kitu mate yananitoka live