Habarini wadau,
Nauliza jins ya ku freez app amazon sizitumii mara kwa mara ili kupunguza matumiz ya bando,nilikuwa natumia infinix smart 6 option ilikuwepo Lakini kwenye samsung siioni kama kwenye picha hapo chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.