Freeman Mbowe: Watu kuwa na uhuru wa kusema ni afya kwa taifa

Machadema maongo sana , mwaka Jana yalipinga sheria ya mitandao kwamba ni mbaya na inakandamiza wananchi..

Sasa tuyaulize ,sheria ina zaidi ya miezi Sita tokea itungwe, Je mpaka sasa hii sheria imemkandamiza nani?

Nyumbu Wa ufipa nawaambieni IKULU haifikiwi kwa kujiegesha kwenye siasa za kitapeli na upotoshaji kiasi hiki.
 
Watu kuwa na uhuru wa kusema ni afya kwa taifa. Waache watu waseme. Wakosoe kwa nia ya kujenga nchi. Watu wote wawe wa CHADEMA, wawe wa CCM hata wasio na vyama ni haki yao kusema.

Ukiwazuia watu kusema ni hatari sana. Katika maeneo mengine duniani ambako ugaidi umekuwa tishio, ni kwa sababu watu walizuiliwa na kunyimwa haki ya kusema na ukajengwa utawala wa mtu mmoja kusikika peke yake.

Tusifike huko. Tuwapatie watu uhuru wa kusema, kukosoa na kutoa mawazo mbadala. Hii ndiyo haki tunaipigania mahakamani.
Kama unalijua hili ,mbona umewazuia wana chadema kukusema??

Ruth Molel ametoa ushauri Wa kurudi bungeni lkn nyumbu wote Wa ufipa wamemrukia na kumuita msaliti!!
 
Kweli wa Matopeni aniwamatopeni tu yule kamanda wa Arusha alifanywa nini? Yerick, saa nane, Malisa na wengine? Wacheni mizuka maana hii sheria nikwawapinzani tu nipe mwana ccm hata onyo aliyepewa?
 
Mbowe ameumia mpiga deal mwenzie na mshenga wa Lowasa cheki bob Ngwajima kuanza kuthibitiwa kwa kuleta uchochezi!

Kuna haya maneno "uchochezi" "tuombee nchi yetu utulivu na amani"
yamekuwa kama wimbo hivi....jamani nchi hii toka huru miaka 50 tumepita shida zote za dunia yaani toka enzi za Nyerere wakati kila kitu kilikuwa foleni, wakati wa ruksa wakati kila kitu kilikuwa ruksa, wakati wa Mkapa tuliambiwa tule majani,.... wakati wa kikwete tukakaa gizani na tumevumilia na tunaendelaea kuishi kwa amani kwa sababu ndio hulka yetu......sasa nyie tu mmekuja jana tu mnatuimbia huu wimbo mna maana gani kama si ni mwatafuta chokochoko????????au mnakitu nyuma ya pazia??????????
 
Kama unalijua hili ,mbona umewazuia wana chadema kukusema??

Ruth Molel ametoa ushauri Wa kurudi bungeni lkn nyumbu wote Wa ufipa wamemrukia na kumuita msaliti!!
Fisi ni fisi tu hata ukimuogesha abadiliki kiwa mbuzi hivi wewe unategemea pale bungeni wapinzani wanapata demokrasia?
 
Kweli wa Matopeni aniwamatopeni tu yule kamanda wa Arusha alifanywa nini? Yerick, saa nane, Malisa na wengine? Wacheni mizuka maana hii sheria nikwawapinzani tu nipe mwana ccm hata onyo aliyepewa?
Aliyetukana rais ,naye ufipa mnamtetea??

Hebu mwambieni amuite Mbowe bwege tuonepo mfano
 
Watu kuwa na uhuru wa kusema ni afya kwa taifa. Waache watu waseme. Wakosoe kwa nia ya kujenga nchi. Watu wote wawe wa CHADEMA, wawe wa CCM hata wasio na vyama ni haki yao kusema.

Ukiwazuia watu kusema ni hatari sana. Katika maeneo mengine duniani ambako ugaidi umekuwa tishio, ni kwa sababu watu walizuiliwa na kunyimwa haki ya kusema na ukajengwa utawala wa mtu mmoja kusikika peke yake.

Tusifike huko. Tuwapatie watu uhuru wa kusema, kukosoa na kutoa mawazo mbadala. Hii ndiyo haki tunaipigania mahakamani.
Haya maneno ya mwenyekiti ni muhimu sana kwa mustakabali wa utulivu na amani ya nchi yetu
 
Kuna haya maneno "uchochezi" "tuombee nchi yetu utulivu na amani"
yamekuwa kama wimbo hivi....jamani nchi hii toka huru miaka 50 tumepita shida zote za dunia yaani toka enzi za Nyerere wakati kila kitu kilikuwa foleni, wakati wa ruksa wakati kila kitu kilikuwa ruksa, wakati wa Mkapa tuliambiwa tule majani,.... wakati wa kikwete tukakaa gizani na tumevumilia na tunaendelaea kuishi kwa amani kwa sababu ndio hulka yetu......sasa nyie tu mmekuja jana tu mnatuimbia huu wimbo mna maana gani kama si ni mwatafuta chokochoko????????au mnakitu nyuma ya pazia??????????
Mkuu ndio wameona hiyo ndio ngao yao yakujikingia lakini Watanzania wamekua wajanja sana wameshtukia hiyo ndio janja yao
 
Mkuu msamehe kwani lumumba ukame umeingi hivyo watu wanaishi kwenye oxygen
Mkuu umesikia wameanza kuchongeana ili wafukuzane fungu lipande wakibaki wachache maana sasa hivi wanalipwa buku mbilimbili... kwani umemuona wakudadavua leo?
 
Watu kuwa na uhuru wa kusema ni afya kwa taifa. Waache watu waseme. Wakosoe kwa nia ya kujenga nchi. Watu wote wawe wa CHADEMA, wawe wa CCM hata wasio na vyama ni haki yao kusema.

Ukiwazuia watu kusema ni hatari sana. Katika maeneo mengine duniani ambako ugaidi umekuwa tishio, ni kwa sababu watu walizuiliwa na kunyimwa haki ya kusema na ukajengwa utawala wa mtu mmoja kusikika peke yake.

Tusifike huko. Tuwapatie watu uhuru wa kusema, kukosoa na kutoa mawazo mbadala. Hii ndiyo haki tunaipigania mahakamani.
Mbowe ni shujaa .
 
Sababu ni hizi hapa chini....1. Hashauriki. 2. Elimu ndogo hivyo imeathiri utendaji kazi ambapo uwezo wa kufikiri pia umekuwa ni mdogo na unashuka siku hadi siku.3. Majukumu ya kifamilia ambapo ana wake wasiopungua watano (King muswati) huku wengi wakiwa ni wabunge wa viti maalum. Wanamuyumbisha sana mh. Wetu. 4. Anatumia rasilimali za chama kwa ajili ya biashara zake binafsi. 5. Msuguano wa chini kwa chini ndani ya chama kati ya chadema asilia na Chadema - CCM ie wenyeji hadi sasa hawawaamini wageni na wageni wanajiona wamepotea na wamebaki wanyonge. Kiufupi hawaaminiani. Mdau wangu aliyeko ndani ya Chadema anaiona hali hii kuwa ni chanzo kitakachoisambaratisha chadema. Hata Lowassa saivi anajutia maamuzi yake ya kujiunga Chadema. nitaendelea.
 
Back
Top Bottom