Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

josegorofani

Senior Member
Aug 19, 2015
197
69
Kuna vijana wa CHADEMA waliyojipa jina la TUG waliojitokeza kuutangazia Umma kuwa kijana mwenzao ambaye ni Katibu Msaidizi wa M/kiti wao wa Taifa Chadema Freeman Mbowe, pia ni Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera Chadema Makao Makuu Ndugu Ben Raibu Wa Saanane amepotea na hajulikani alipo takribani siku 22 ziliyopita. Mbaya zaidi wameanza kutupia lawama serikali kuwa Ndiyo inayofahamu alipo Ben Saanane.

Baada ya kuwasiliana na watu wa Karibu na ofisi ya M/kiti wa Chadema Mbowe nimeelezwa kuwa Kuna mtu anayeitwa Mushi huyu ndiye anayejua Ben alipo. Huyu Mushi watu CHADEMA wanamfahamu vilivyo ametumika katika Matukio lukuki ya utesaji wa watu wanaonekana kutofautiana na Mbowe.

Huyu jamaa kabla hajachukuliwa na Mbowe na kumfanya moja Kati ya walinzi wake wa Karibu alikuwa jambazi mashuhuri anayeogopwa huko Arusha. Huyu jamaa alituhumiwa kutumika pia katika kifo cha Chacha Wangwe. Ben atapatikana baada ya Mbowe na timu yake kurejea kutoka kuwadanganya wazungu Ulaya.

Ben Saanane alihusika Sana kuandaa makabrasha ya Safari ya Mbowe wakishirikiana na John Mrema Mkurugenzi wa Uenezi na Mambo ya nje CHADEMA mpaka walipomaliza maandalizi lakini wakawa wamekosa kick ya kwenda kuwarubuni wazungu namna ya kuwatoa pesa ndipo suala la Ben Saanane kujificha ilipoibuliwa Ili ionekane serikali inawatesa wapinzani machoni pa wazungu.

Nyie Akina Noel C Shao, Malisa na wengine sasa kama mnaubavu nendeni mkamuulize Mushi alipo Ben achane kuzunguka mbuyu wakati pakuanzia nishawaeleza. Mushi alikuwa na Ben siku moja kabla Ben hajapotea.

Uwa nakaa najiuliza hivi ni Chadema tu Ndiyo watu wanatekwa na hata kupoteza maisha mbona vyama vingine haya Matukio hayapo? Kulikoni Chadema sasa ni muda muafaka ukweli kuhusu Chama hiki kuwekwa wazi.

Huyu Mushi alitumika kumkamata na kumtesa aliyekuwa Mlinzi wa Dr Slaa baada ya Mlinzi huyo kuwakatalia kundi la akina Freeman Mbowe mpango mchafu Dhidi ya Dr Silaa.

Huyu kijana amefichwa na Viongozi wa Chadema ndiyo maana hawana wasiwasi Mbowe yuko Ulaya ,Lowassa yuko kanda ya ziwa na Vincent Mashinji yuko kanda ya magharibi Huku nyuma wamewachia vikaragosi akina Malisa, Noel Shao, Boob Chacha Wangwe Ndiyo waangaike na kutafuta Ben Saanane kwenye Mitandao.

Tujiulize ninani alitoa taarifa ya kwanza kuhusu kupotea kwa Ben? Na taarifa alitolea wapi na aliambiwaje na nani?!!. Tunataka chadema iache Mara moja kuchafua serikali kwa siasa za kipumbuvu. Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi ifanye uchunguzi kuhusu hiki kwanini Matukio haya ya ajabu hutokea Chadema isiwe CUF NCCR au TLP?.

Watanzania hatuko tayari kuona serikali ikivunjiwa heshima kwa siasa za ovyo ovyo pia Tunataka kujua ninani alikuwa wa kwanza kupost kupotea kwa Ben Mitandao na kwanini jambo hili lifanywe wakati akina Mbowe, Lissu na Mrema wakiwa Safari ulaya?

Huu ni mpango mahususi uliyopangwa kuhadaa ulimwengu na Watanzania. Mbowe, Mushi,Mrema na akina Malisa wanafahamu alipo Ben Saanane waache kutuzuga.

saanane_mauaji-620x308.jpg
 
Kama Mushi ndio alikua mtu wa mwisho kuwa na Ben kwanini mtandao wake wa simu wanasuasua kutoa taarifa za mawasiliano? kwanini Polisi nao wamekua na kigugumizi juu ya hili>? Ina manaa Mbowe kawanunua??
 
Inatisha km kuna kina Mushi walifika mpaka Ruvu mtoni, basi tusubiri matamko ya kina Makene kwa waandishi wa habari leo
 
Me kelele juu ya huyu mjinga aliejiteka nmezchoka jmn... Hakuna kipya cha kujadili zaidi ya huyu zwazwa Ben.? Ben ni nan.? Kalifanyia nn taifa.? Bullshit....
 
Inatisha km kuna kina Mushi walifika mpaka Ruvu mtoni, basi tusubiri matamko ya kina Makene kwa waandishi wa habari leo
Matamko mengi bila kupatikana kwa ben saanane kutoka mikononi mwa mbowe ni sawa na kelele tu.Mbowe atoe maelezo yakutosha kuhusu huyo Ben Saanane.
 
Nyie Akina Noel C Shao, Malisa na wengine sasa kama mnaubavu nendeni mkamuulize Mushi alipo Ben achane kuzunguka mbuyu wakati pakuanzia nishawaeleza. Mushi alikuwa na Ben siku moja kabla Ben hajapotea.
Malisa alipote humu jamii forums kwa muda ambao unaendana na muda aliopotea Malisa.Afuatiliwe huo muda alikuwa wapi.

Pili Mbowe aeleze vizuri ilikuwaje wakamtoa BEN saanane toka kuwa mwajiriwa Mkurugenzi wa Utafiti na SERA wa CHADEMA na kumfanya house boy (PERSONAL ASSISTANT) wa MBOWE ambaye si mwajiriwa wa CHADEMA? Kuna nini alikosea je ilikuwa ni kumwadhibu? Na je adhabu yake iliishia hapo?

Huyo SHAO naye wa kufuatiliwa ni kama mtu fulani hivi

soma hii habari


Wakuu Habari zenu,

Kwa vile Ben Saanane ameonesha kuwa ni mtu anayeamini katika Ukweli na uwazi kiasi cha kupambana na kumshambulia Rais Magufuli mfululizo kwenye page yake Facebook.Jamii forums na Makala za Raia Mwema,sasa hebu ajitokeze aeleze fedha hizi alizolipwa na ubalozi wa Sahara Magharibi ni zaidi ya Milioni 12 ni za nini?

Vilevile kabla ya mfalme wa Morroco kuingia zilipatikana taarifa za ubalozi wa Sahara kwa kushirikiana na balozi fulani hapa nchini ziliwalipa watu fedha ili kuhakikisha Ziara ile inachafuliwa.

Ikumbukwe baada ya hapo kuna kundi lililojiita la TASSC lilifanya mkutano na waandishi wa habari Landmark hotel.Fedha walitoa wapi?Taarifa za uhakika Ben Saanane aliongea na baadhi ya wahariri na yeye haijulikani alikuwa na maslahi gani na katika habari hiyo .

Jeshi la polisi lilimkamata na kumhoji Kijana Noel Shao ambae kwa uchunguzi wa kina hapo kabla alionekana kuwa na ushirikiano na mawasiliano ya karibu na Ben Saanane na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani.


Vilevile tutapata taarifa nzuri juu ya mmiliki wa Akaunti namba 01J1093293000.

Kama tumefikia hatua kwamba sasa watu ambao serikali iliwasomesha kwa fedha nyingi wanaamua kutumika vibaya na wasiolitakia taifa letu mema basi Tanzania haitakaa iendelee.

Kwa anachofanya kijana huyu msomi hakina tofauti na kile alichosema Evarist Chahali kuwa ni ugaidi na anatekeleza makosa makubwa ya kiuadui ya kuhujumu nchi.

Hata Marekani au uingereza hawawezi kuvumilia mambo kama haya ndiyo maana leo akina Assange na snowden wapo uhamishoni

Ndani ya mgogoro wa CUF unaoendelea kuna kiongozi Abdul Kambaya aliwahi kumshutumu kijana huyu na kutoa angalizo kwenye vyombo vya habari kuwa huyu na jussa wachunguzwe kwa karibu.Lile halikuwa jambo dogo.

Na hata kazi anayoendelea kufanya ya kumshambulia Rais Magufuli mfululizo isipodhibitiwa basi yeye na kundi lake watalifanya taiafa lionekane la ajabu kabisa.Na hata CHADEMA kitakuwa kinaongozwa na watu wasiolitakia Taifa hili mema kwani kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo yeye na kundi lake wanazidi kujiimarisha kwenye mitandao na wanazidi kuwa wengi huku wakifanya harakati nyingine haramu tena kwa kushirikiana na taasisi za nje.

SOURCE:Tetesi: - Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?
 
Me kelele juu ya huyu mjinga aliejiteka nmezchoka jmn... Hakuna kipya cha kujadili zaidi ya huyu zwazwa Ben.? Ben ni nan.? Kalifanyia nn taifa.? Bullshit....
Huyu ni mtunza siri za Chadema sasa naona atakuwa ameenda long na mwenyekiti(Mbowe)
 
Malisa alipote humu jamii forums kwa muda ambao unaendana na muda aliopotea Malisa.Afuatiliwe huo muda alikuwa wapi.

Pili Mbowe aeleze vizuri ilikuwaje wakamtoa BEN saanane toka kuwa mwajiriwa Mkurugenzi wa Utafiti na SERA wa CHADEMA na kumfanya house boy (PERSONAL ASSISTANT) wa MBOWE ambaye si mwajiriwa wa CHADEMA? Kuna nini alikosea je ilikuwa ni kumwadhibu? Na je adhabu yake iliishia hapo?

Huyo SHAO naye wa kufuatiliwa ni kama mtu fulani hivi
Huyu ni wakutafutwa popote alipo ili awe mtoa maelezo namba 2
 
Inaniuma ccm walivyomuua Alphonce Mawazo tena mchana kweupe saa tano asubuhi
 
Wamepoteza Dira ya wanachokiamini kwa sasa wanaishi kuamini ndoto za Lowasa simsikii tena mtei.
Chadema ni chama cha Biashara na mtei kashamuuzia lowasa chama na Mbowe ndy alkua dalali na ndy maana humskii Mtei... Hawanaga sera zaidi ya masinema
 
Baada ya kumzika mzazi wangu huwa sina tena tatizo na kifo kihivyo, so far ikitimia haina haja ya kuanza kuhangaikia mambo yaliyo nje ya uwezo wangu. Wamekufa wengi na tumewazika wengi pia, hii ishu isifanywe kama ndo tukio pekee katika dunia hii
 
Hiki kitu nilishtuka tangia kule mwanzo,

Hii ni sinema kama za holywood tu hamna kitu hapo!

CDM Acheni ujinga mrudisheni mliko mficha ben
 
Back
Top Bottom