Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

Status
Not open for further replies.

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Habari za Jumapili wadau,

Imethibitika pasipo shaka kuwa Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na mwanachama wake mpya Wema Sepetu wako katika penzi zito ambalo limeibua sintofahamu.

Ujumbe wa sauti wa maongezi ya Wema na Mbowe kwenye simu kama alivyofanya mama yake kwa Steven Nyerere umepatikana.

Usikilize hapo chini.
 

Attachments

  • AUD-20170604-WA0001.mp3
    2.7 MB · Views: 559
Kule Gigy huku Wema, lakini si mbaya hata Ngwea aliimba "mwanaume kwa dem ni sawa na mfupa kwa fisi".
Ni kuburudishana tu maana haina namna sasa. Lakini Wema namchukulia kama kidudu hatari ndani ya chama, kwa nini arekodi na kuweka hewani mambo yao binafsi?
Wochi iti mr. Mbowe sasa unaenda kubandikwa font fed hivi punde.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…