Fix za town

minimetoa mawazo yangu2 mkuu coz nliona kma hazirelate hivi,..samahani mkuu
Mkuu unajua wengine tupo kiburudani zaidi NA kila MTU ana vstyle yake ya kuandika thread...ingekuwa vipi hapa JF Iwapo thread/habari/stori zote zingekuwa za aina 1 tu?
Binafsi sipendi ugomvi/mabishano/kukashifiana NA watu....Napenda kuwa peace na kila member humu JF
Be blessed mkuu
 
nmetubu kama nimekukwaza mkuu
namimi nilikuwa naendeleza burudani2
 
HIVI washkaj bado wana tabia ya kuazimana nguo tu
Huyo Mr zero boyaaa kweli mwambie aache ubishoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom