FIFA kuiomba TFF Report ya Mechi kati ya Afrika Lyon vs Kagera Sugar

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hapo patamu sana hebu angalia safari hii ya usanii wa bodi ya ligi na kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji.

1:Simba SC yapeleka malalamiko kuwa Kagera Sugar imemchezesha Mohammed Fackh ambaye ana kadi ya njano.
2:Bodi ya ligi imekaa chini kusikiliza madai ya Simba.
3:Bodi ya ligi imemuomba Refa wa mchezo hatume report ya mchezo- ina maana Bodi ya ligi aikuwa na report ya mchezo huo ulio chezwa at miezi miwili iliyopita
3:Bodi ya ligi imeshindwa kutolea maamuzi wamepanga siku nyingine- hapa ina maana Bodi ya ligi awana report ya mchezo huo ivyo awawezi kutoa maamuzi
5:Bodi ya ligi imeipa Simba SC point tatu
6:Kagera wamekataa rufaa
7:Kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji imekaa
8:Kamati imewaita wachezaji, Refa na wasaidizi kuja kutoa ushaidi- hapa in maana hakuna report ya mchezo hadi waite mashahidi au kuna report fake
8:Kamati imewanyang'anya Simba sc point tatu
9: Simba SC waenda FIFA
10: FIFA yaiomba TFF kupeleka report ya mchezo
11: TFF mchezo haukuwa na report au report iligushiwa
12: Simba kushushwa Daraja
 
Hivi nyie hamchoki na hizo ngonjela zenu?
Ao Simba walishindwa kulipa laki tatu 300,00/= tu kwa ajili ya rufaa yao TFF, wataweza kulipa milioni sijui 30 za rufaa FIFA?
 
Hivi nyie hamchoki na hizo ngonjela zenu?
Ao Simba walishindwa kulipa laki tatu 300,00/= tu kwa ajili ya rufaa yao TFF, wataweza kulipa milioni sijui 30 za rufaa FIFA?
kajifunze kuandika
 
Kwenye mlolongo wako hapo ungeongezea vipengele ambavyo umevuruka kwa makusudi.



2. Simba wakakata Rufaa nje ya muda uliowekwa kikanuni.

3. Simba hawajawasilisha ada ya Rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…