Jamaaaani eeeh nimetafuta sana kwa zaidi ya miezi 6 sasa hapa ma game sijapata.. Nisaidienieni tafadhali kwa mwenye nalo,mwenye link ya kudownload.... Hata kwa kununua pia nipo tayari... Maana sina raha kabisa na nshaanza kukonda kwa kuyakosa haya ma game.