Fatuma Karume, ni hazina ya wanasiasa nchini Tanzania

More to come! magenge ya wanaharakati wa msimu yana haha.... sasa hivi deal iliyobaki kwenu ni kukumbatia programmes za key population...
Ebu wahi hiyo buku 7 maana huna lolote zaidi ya ku mbwelambwela hapa jukwaani,na log off kwako
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, kuchelewa maana zile nafasi 46 magu kazipotezea labda agange njaa tu kwa buku 7
Na amechelewa kweli maana hizi buku saba inaweza kwa mwisho june magu atakapopewa uenyekiti wa chama cha majipu, maana kaamua kuwagomea posho zote. Angewahi tu mmu akapate darsa la unyumba.
 
Ebu wahi hiyo buku 7 maana huna lolote zaidi ya ku mbwelambwela hapa jukwaani,na log off kwako
Mtumwa wa Nyeupe..na bado ngoja jibu la stanbic litumbuke...hili litakuwa likuwa deleted nyumbu wadogo wadogo kama wewe!
 
Leo akihijiwa na shirika la utangazaji la Ujerumani, Mtoto wa rais mstaafu wa zanzibar bi Fatuma Karume amesema kuwa yeye anaamini kuwa matokeo ya uchaguzi wa 25.10.2015 ndio sahihi na ilibidi watawala wayaheshimu na akasema haogopi kufa maana alizaliwa siku moja na atakufa siku moja,hivyo ataendelea kupinga kilichotokea zanzibar, huyu binti kweli ni hazina ya wana siasa nchini tanzania na ni mbadala wa mwlimu jk nyerere
wacha kukufuru wewe..huyu haweze hata kufunga kamba za viatu vya mwalimu nyerere. kama huyo fatuma ana akili anawezaje kufikiri uchaguzi uliofutwa kabla ya kutangazwa matokeo na mamlaka pekee yenye madaraka kisheria ya kutangaza matokeo unaweza kua na matokeo. kwa ufupi hapakua na matokeo kisheria ya uchaguzi kuweza kumtangaza mtu rais wa zanzibar. kama mtu yeyeto angemtangaza seif au yeye mwenyewe kujitangaza rais (kama alivyofanya) lazima kungekua na mgogoro kwa sababubu ccm wasingelikubali. huyu fatuma anapelekeshwa na hisia tu na ni wale wenye kuzidisha tatizo badala ya kulitafutia ufumbuzi.
 
Hivi wewe kwa akili yako,wewe na Fatuma Karume ni nani anapaswa kuikumbatia ccm?
 
wacha kukufuru wewe..huyu haweze hata kufunga kamba za viatu vya mwalimu nyerere. kama huyo fatuma ana akili anawezaje kufikiri uchaguzi uliofutwa kabla ya kutangazwa matokeo na mamlaka pekee yenye madaraka kisheria ya kutangaza matokeo unaweza kua na matokeo. kwa ufupi hapakua na matokeo kisheria ya uchaguzi kuweza kumtangaza mtu rais wa zanzibar. kama mtu yeyeto angemtangaza seif lazima kungekua na mgogoro kwa sababubu ccm wasingelikubali. huyu fatuma anapelekeshwa na hisia tu na ni wale wenye kuzidisha tatizo badala ya kulitafutia ufumbuzi.
Mimi ni mTz kukuzidi linapokuepo swala la msingi mnakimbilia ubaguzi. Swala ni kwamba ccm na dola haikutenda sawa Zanzibar na hamuwezi kukiri[/QU
Mimi ni mTz kukuzidi linapokuepo swala la msingi mnakimbilia ubaguzi. Swala ni kwamba ccm na dola haikutenda sawa Zanzibar na hamuwezi kukiri

wewe sio Mtanzania! labda wewe ni raia wa Tanzania kupitia kwa njia mbali mbali na mianya iliyopo... lakini wewe sio Mwananchi kwani lugha na mitizamo yako inafanana na wale raia wengine wenye damu za KISULTANI au wale wakenya wenye passport za kitanzania lakini wanaishi katika mikoa iliyopo kaskazini mwa Tanzania.
 
Aya basi umesikika nenda lumumba ukachukue hiyo buku 7
Hoja kwanza mkuu blah! blah! badae,mimi nilifikiri ulikuwa serious kumbe ulikuwa katika utani wa vijiweni!
Naku ujaribu kulipa jukwaa hadhi yake utani mwingine(kama ule kwenye bandiko lako)sio mzuri.
 
Hoja kwanza mkuu blah! blah! badae,mimi nilifikiri ulikuwa serious kumbe ulikuwa katika utani wa vijiweni!
Naku ujaribu kulipa jukwaa hadhi yake utani mwingine(kama ule kwenye bandiko lako)sio mzuri.
Ukichelewa utakuta lumumba kushafungwa hivyo wanao watalala bila kula maana buku 7 ndio saizi yako
 
Shule za kata hata jiografia ya nchi yako huijui ama ni AKILI nilisema kule nyuma kuwa chache au hazimo Tunazo wilaya za Tarime na Rorya wanakaa watu gani ?!. Au mtake JPMJ aigawe north mara yote kama atakuelewa.

Ugonnjwa uliopo Lumumba ni ukigeugeu na kushabikia chochote hata kama cha hovyo mradi imeamuliwa na ngazi ya juu. Kuwa huru ujue jambo jema na baya (Zanzibar hamkutenda sawa)
 
Ukichelewa utakuta lumumba kushafungwa hivyo wanao watalala bila kula maana buku 7 ndio saizi yako
Kama wewe ni mmawia kwa kabila basi tambua kwamba unawaangusha wamawia,kama ni mmawia kwa ukoo basi unaudhalilisha ukoo wako kwa kuleta utani katika majamvi makini.
SIKUJUA KUMBE NA WEWE NI WA "KUIGNORE"
 
Nasisitiza wewe ni raia tu kama raia wengine tunaowapokea maeneo ya Kinesi, Shirati, kowak na Utegi.... wewe si Mwananchi! Zanzibar haujui wewe! nasema tena wewe hauna tofauti na raia wengine tunaowaonea huruma kama wewe ila wao wana damu za KISULTANI! kaa kimya wacha kufuata mkumbo kama NYUMBU!

Ya ZANZIBARI yananihusu sana ukizingatia uncle wangu John Okello ni kiongozi wa mapinduzi ya ZANZIBARI, pili nimeoa huko nina wakwe na mashemeji huko.

ZANZIBARI ni sehemu ya muungano kama kuna jambo linawasibu ni pamoia bara. Ukiona wameleta hayo mambo zanzibar na bara watayaendeleza bila wasiwasi. Kwa hiyo hatuna budi kulikemea ili lisizoeleke
 
wacha kukufuru wewe..huyu haweze hata kufunga kamba za viatu vya mwalimu nyerere. kama huyo fatuma ana akili anawezaje kufikiri uchaguzi uliofutwa kabla ya kutangazwa matokeo na mamlaka pekee yenye madaraka kisheria ya kutangaza matokeo unaweza kua na matokeo. kwa ufupi hapakua na matokeo kisheria ya uchaguzi kuweza kumtangaza mtu rais wa zanzibar. kama mtu yeyeto angemtangaza seif au yeye mwenyewe kujitangaza rais (kama alivyofanya) lazima kungekua na mgogoro kwa sababubu ccm wasingelikubali. huyu fatuma anapelekeshwa na hisia tu na ni wale wenye kuzidisha tatizo badala ya kulitafutia ufumbuzi.
Mkuu kumbe huyu mtu alikuwa anamaanisha kumfananisha na Mwl Nyerere!Hivi huyu anamjua Mwl Nyerere au alifanya kuhadithiwa na mababu zake?Au akisikia mtu kahojiwa na shirika la habari la Ujerumani ndio anaanza kutetemeka?Atakayemzingatia mtu anayetaka kuwaaminisha watanzania kitu cha hovyo namna hii(cha kumfananisha na Mwalimu)anatakiwa akapimwe akili Milembe.
 
Leo akihijiwa na shirika la utangazaji la Ujerumani, Mtoto wa rais mstaafu wa zanzibar bi Fatuma Karume amesema kuwa yeye anaamini kuwa matokeo ya uchaguzi wa 25.10.2015 ndio sahihi na ilibidi watawala wayaheshimu na akasema haogopi kufa maana alizaliwa siku moja na atakufa siku moja,hivyo ataendelea kupinga kilichotokea zanzibar, huyu binti kweli ni hazina ya wana siasa nchini tanzania na ni mbadala wa mwlimu jk nyerere

Na hapa kwangu!!!!
 
Fatuma Karume ni shujaa .
Shujaa wa nini?!,Miaka yote ambayo Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Karume(ambaye ni baba yake mzazi) alipokuwa anashinda uchaguzi(kihalali) Maalim Seif alikuwa mara zote anaimba wimbo huu huu anaoimba sasa hivi (wakati wa ushindi halali wa Dr Shein),mbona hakuonesha ushujaa wake wakati huo?!
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, eti ushindi halali!!!!, rais ameapishwa hata kiongozi mmoja wa kutoka nchi jirani hakuwepo, hata mwenzenu nkurunzinza!!
 
Back
Top Bottom