Mwakawasila
Member
- Oct 23, 2024
- 22
- 20
Jambo la kwanza jitahidi kubadiri kutoweza kuwa kuweza Kwa kuamua mwenyewe
Na njia nzuri ni kuweka mpango mkakati wa kuanza kuweka na kuboresha mindset yako
Itakuwa ngumu ila ukizoea utajishukuru
Hii ni formula nyepesi ya kugawa pesa yako na ni nzuri Kwa sababu imenipa matokeo pia
1. Matoleo ya Moyo (10%) - Zaka, sadaka, kokote kule unatoaga sadaka nisikupangie
2.Kusaidia wasiojiweza(5%)
Wale wanaotafuta msaada barabarani
Ama majirani zako UNAWAFAHAMU nk
3. Akiba (10% Hakikisha unaweka akiba ya kujilipa mwenyewe kwanza kwa malengo ya baadaye.
Hapa ni malengo ya muda mfupi yako
4. Uwekezaji (20%) - Hii ni kwa ajili ya kupanua mtaji, kuanzisha biashara, au kununua mali itakayokuletea faida. UWEKEZAJI wa muda mrefu
Mfano HISA, HATIFUNGANI,RALEAL ESTATE,UFUGAJI,KILIMO, CRYPTOCURRENCY,VIPANDE,VICOBA,UPATU,MICHEZO
5. Matumizi ya Kawaida (40%) - Hii inajumuisha gharama za maisha, kama chakula, kodi,Mavazi,ada, usafiri na mahitaji ya kila siku.
6. Dharura (10%) - Akiba kwa matumizi yasiyotarajiwa kama matatizo ya kiafya au hitaji lingine la haraka.
Hii itakusaidia kulinda pesa ya huko juu ya KUWEKEZA na mtaji
Unaweza kufanya na kutenda pia
Njia NYEPESI YA kupata asilimia mfano asilimia 10% ya 50,000
50,000÷100=500
500×10=5000
Kwa hiyo 10% ya 50,000 ni 5000
Mfano 2 asilimia 15% ya 64,000
64,000÷100×15=9600
Siyo ngumu jaribu uone