Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,681
- 39,012
Upanuzi wa nini? terminals au majengo au nini?View attachment 317740
Nairobi
View attachment 317739
Dar.
Nimeona picha ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (Nairobi) nikaona kuna tofauti kubwa sana na upanuzi unaoendelea wa kiwanja cha Julius Nyerere (Dar).
Utofauti huu ni wa kimipango au wakimahitaji?
sources:
Kenya's $50 billion megaprojects - CNN.com
Terminal 3, Julius Nyerere Airport, phase 1 and 2 - Dar es Salaam, Tanzania | BAM International