Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,085
- 11,474
Kuchinja ni kuuza gari vipande vipande kama spearKuichinja si bora ukanipatia tu mkubwa!
Kuchinja ni kuuza gari vipande vipande kama spearKuichinja si bora ukanipatia tu mkubwa!
Sijapata shida yoyote since 2017 naitumia..sioni njia ya kuifanya nibadili kadi kwa kukosa hivo viambatanishi.
Naitumia hii gari nikiichoka naichinja..
Mkataba wa Mauziano si unakuwa nao?Hapo unaweza mpa shida aliekuuzia.. ikifanya uhalifu hiyo gari.. ndo utajua umuhimu wa kubadili kadi.. na nina uhakika aliekuuzia angejua shida ya kumuacha mtu atumie gari kwa jina lako angekulazimisha muibadili..
maana mpaka polis waelewe kuwa alishaizua niaka saba iliopita shughul anayo
kuna jamaa yangu mdogo wake kaka mwaka jela
kimasikhara sababu aliuza baloon aliemuuzia akafanya tax bubu.. dereva aliempa akaikodisha kwa wazee wa kaz.. wakapiga kaz ikabuma wakakimbia ila gari namba ilishashikwa akaja kudakwa yeye sababu bado kadi inasoma jina lake.. had anatoka jela mwaka na miez kadhaa
USIKUBAL KUUZA CHOMBO CHA MOTO BILA KUBADILI JINA.. kama ww unauza chukua effort za kuhakikisha mnabadili..
Mkataba wa Mauziano si unakuwa nao?