Fahamu matumizi ya hesabu za matrix kutengeneza secret war code!!

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
899
1,230
Hii ilitumiwa na wamarekani in second world war baada ya wajapan kuingilia system yao ya communication.
Kinachofanyika ni kwamba kila alphabet inaasigniwa namba yake
Then wanatengeneza secret universal formula ambayo watatumia kumultiply na ujumbe uliowafikia kupata maana sahihi
So atakayebreak code njiani hatoelewa.angalia picha uelewe zaidi.wenzetu USA wanasomesha watoto maalum since kindergaten
 
Huwa nahangaika sana kuwakazania watu kuwa hesabu zina application sehemu nyingi wana arts wengi huwa wananibishia
 
Application pia ni ktk biashara na utengenezaji wa compound madawa mbalimbali na virutubisho vya dawa.
 
Matrices are also very important in Electric circuits analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…