laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,750
wekeza kwa wanawakeUwekezaji gani mzuri huko?
wekeza kwa wanawakeUwekezaji gani mzuri huko?
Hii si ni lawama jamani? Nakifahamu hiki kisiwa kwa mziki wa Zouk, Sikujua kuna vitu vizuri namna hii aisee!Mkuu acha ukatili! Tupiamo tupikcha basi!
Duuh! Hii ni hatare juu ya hatare!Yeeees, nimesoma na baadhi yao mademu wao huko Monterey, California mwaka jana! Walikuwa changudoa wa chuo na hawakuwa na discipline ya wanaume.
Mkuu lugha yao kuu ni kirenoAiiiseeeeeeeeeee, watoto watamu na tena ni machotara fulani hivi, mkuu hujatuambia lugha yao kuu ni ipi..................ngoja nikachukue mmoja huko.
Wewe ndo umesema hahahahaha!Vijogoo hamieni Cape Verde huko mambo mswano.
Huko ni kwa kula bata tu, maisha mazuri ni hapa hapa Bongo. Imagine weekend inaanza J5 Utafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato zaidi ya kutumia tu?Wewe ndo umesema hahahahaha!
Poa poa mkuuMkuu acha ukatili! Tupiamo tupikcha basi!
Nchi ya ahadi hiyo.Hapa michepuko ndo habari ya mjini acha nihamie carp vade
1) Cape Verde ni kisiwa kwa muonekano kinafanana sana na Zanzibar.
2) Ili kufika Cape verde ni lazima hutokee moja ya nchi za West Africa sana sana Senegal na nchi za jirani na Senegal kwa maana hakuna ndege za moja kwa moja mpaka Praia.
3) Mji mkuu wa Cape verde ni Praia na sarafu ya nchi iyo uitwa Escudo.
4) Ilikuwa na idadi ya watu laki nne na nusu tu.(nb: yaweza ongezeka) wanawake ikiwa ni laki tatu na wanaume laki na nusu.
5) Watu wa Cape verde ni machotara wa Kireno na Weusi, mfano wa wazawa wa Cape verde ni mwanamitindo maarufu wa Marekani Amber Rose.
6) Raisi wao aliwaomba kila mcape verde wa kiume awe na mahusiano walau na wanawake wawili ili kufanya kila mwanamke apate mwenza.
7) Dunia nzima kuna wa Cape verde million mbili tu(nb: idadi yaweza kuongezeka), wa cape verde wengi wanaishi nchi za ulaya Ureno ikiongoza.
8) Kuna mtanzania mmoja tu tena mwenye asili ya Zanzibar anayeishi na kufanya biashara ya mgahawa nchi Cape verde.
9) Weekend kwa wa Cape verde inaanza Jumatano mpaka Jumapili, (ni wavivu na wapenda starehe pesa zao nyingi utumwa na ndugu zao wanaoishi bara Ulaya).
10) Ukiwa na mahusiano na msichana wa Kicapeverde unaweza kwenda nyumbani kwa wazazi wake na kufanya mapenzi uku wazazi wakiwepo sitting room bila kujali then ukajiondokea bila tatizo lolote wao ni kawaida tu.
11) Kuna wakati team ya mpira wa miguu wa Tanzania (Taifa stars) kipindi cha Maximo kama sikosei ilikuja kucheza na Cape verde wakajaga na Boeing ya Air Tanzania kwa wakati huo, cha ajabu wa Cape verde hawakuwaigi kuona ndege kubwa kubwa kutua mjini Praia na habari zikaenea mji mzima kuwa nchi tajiri imekuja kucheza Cape verde kisa ndege iyo ni kubwa na kwakuwa iliwasubiri wachezaji kwa siku zote walizokuwa Cape verde.
12) Kuna mabinti wazuri sana Cape verde hawa wa kuitwa mapoint five ila usishangae amebeba sinia la ndizi akiuza mjini Praia ni kawaida sana.
13) Cape verde ni nchi inayoongoza kwa Demokrasia Africa.