Fahamu kuhusu kipimo cha CT-SCAN

CT-Scan ya kifua/mapafu ina cost sh ngapi? Nina bimkubwa wangu anaumwa kifua kwa zaidi ya miaka 30. X RAY haikuonesha ugonjwa
 
CT-Scan ya kifua/mapafu ina cost sh ngapi? Nina bimkubwa wangu anaumwa kifua kwa zaidi ya miaka 30. X RAY haikuonesha ugonjwa
Its a range kati ya laki 2.5-3.5(kwa arusha-private hospitals).
Kwa muhimbili i guess itakuwa cheaper Kaunga
 
Asante sana Dr.wansegamila kwa kujali na kutuelimisha sisi wananchi tunao wategemea nyinyi kwa afya zetu asante sana nitasubiri kwa hamu hiyo elimu .
 
Kwa uvimbe wa titi, kipimo kizuri cha kufanya kuweza kufahamu kama ni kansa au hapana ni kufanya ni kukata sehemu ya kiuvimbe hicho na kukiotesha (biopsy); kipimo hiki ndio hutoa majibu kwa asilimia 100 kama ni kansa au si kansa...
Asante Dr. nimekupata.
 
Aksante sana Dr Wansegamila kwa elimu nzuri sana.Naomba elimu juu ya hili tatizo linalonisumbua.Nilishauriwa niwe natumia mito miwili ya kulalia kutokana na tatizo la Acid Reflux.Baada ya mwezi likanianza tatizo la maumivu makali ya shingo na kichwa kwa nyuma.Wakati mwingine yanapenya pande zote za kichwa kuelekea mbele kama short ya umeme.

Nilienda Hospital kubwa Dar wakanipiga X-Ray ya shingo na Fuvu.Fuvu halikuwa na tatizo lolote.Shingo wakasema kuna Muscle sparms.Wakanipa dawa za kutuliza maumivu tu.Maumivu yamepungua ila hayajaisha kabisa.

Tatizo hili nililipata Dec 2015.Kichwa kwa nyuma kinauma kama kiko karibu na moto,maumivu yanakuja na kutoweka.Kuna siku nakaa siku nzima bika maumivu na pia siku nyingine maumivu yanakuwa kwa muda mrefu.

Hasa mchana.Namshukuru Mungu,maumivu hayaniamshi usiku,nalala tu vizuri.Naomba ushauri ma-Dr.
 
Nafahamu Muhimbili kipo. Bei Laki na ushee. Hata hospital za binafsi kitakuwepo uliza tu
 
Nilifanya MRI MUHIMBILI MWEZI WA NNE YA MGONGO NI 450,000/=
 
CT scan kwa hospitali za umma nafahamu iko muhimbili,kcmc, bugando,pia peramiho(songea),
MRI kwa hosp za umma nafahamu ipo muhimbili (ilikwepo na ile hosp mpya ya dodoma,ila nasikia ndo imehamishiwa muhimbili baada ya MRI ya muhimbili kuharibika).
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…