Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 681
- 1,300
Kwaniniiikatseb,
Asante sana ndugu "iikatseb",kuhusu ubest wa hizi accounting package inategemea sana na kazi ulizozifanya. Lkn cha kuangalia kiangalia ni kuwa Tally in both Acconts, inventory & Payroll kama package moja. Wakati QuickBook Payroll inanunuliwa tofauti.
Kwa maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina;
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Mnashida ipi