Eti jamani utajisikiaje kama ni wewe?

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,301
Yule kilaza,mchafukoge,mkopiaji wa darasani kwenu anapokuwa bosi ofisini kwako,na wewe ndo ulikuwa kipanga hatari.
 
Maisha hayana formula. Kigezo cha mtu kufanikiwa si elimu tu. Lakini bila elimu utatumia nguvu nyingi kutoka. Nampa tu heshima yake inavyomstahili
 
Mkuu hii tunaita LIFE CYCLE yan mlimburuza shuleni na yeye NOW anawaburuza kazini.Life is always fair
 
Mbaya zaidi kilaza huyo (Bashite) anawaambia live kabisa "yaani kama kuna watu wasiotakiwa kulipwa mshahara ni nyie, na kama ningekua Rais ninge wacharaza viboko kabisa".
 
Mbaya zaidi kilaza huyo (Bashite) anawaambia live kabisa "yaani kama kuna watu wasiotakiwa kulipwa mshahara ni nyie, na kama ningekua Rais ninge wacharaza viboko kabisa".
Kumaanisha kazi hamfanyi au rostok tu! Duuh! Hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…