Estar Bulaya aachiwa huru

We nyumbu kula kiroba kalale ntolee ubw.abw a wako hapo
tehetehe.......

1457843343631.jpg
 
Hivi yule mbunge aliyempiga mwenzake kwa bakora ya kichwa hadi akazimia aliwahi hata kufika kituo cha polisi?
 
Baba ni baba tu hata wawe na misimamo tofauti ,waswahili walisema damu ni nzito kuliko maji

ndiyo amemkataa sasa,kwa hiyo kwa kumuweka ndani ndiyo atamkubali??Hivi hujui baba wengine ni baba wa kambo..............
 
Baba wa kambo ni yule aliyemfuata baada ya kutoka kwa baba wa asili ,hata baba wa kambo awe mwema kiasi gani bado hawezi kumtenganisha na baba wa asili
 
Baba wa Kambo ndiko alikotoka,amerudi kwa baba yake mzazi,na yuko very happy.Mmebaki kumsumbua tu,kupoteza pesa za umma,kung'ang'ania mtoto aliyekukataa.

Jamani DNA inaonyesha Esther Bulaya siyo mwanao,mwacheni yuko kwa baba yake sasa.............
 
Teh teh tumebaki kumsumbua kina nani ?? Mimi sio ccm wala chadema ila ni mwana Ukawa sasa kusema Bulaya kachoka tofauti na alivyokua ccm ni tatizo ?
Kwa maelezo hayo hapo mimi sio baba wa kambo wala baba wa asili ni mzee wa busara tu
 
Teh teh tumebaki kumsumbua kina nani ?? Mimi sio ccm wala chadema ila ni mwana Ukawa sasa kusema Bulaya kachoka tofauti na alivyokua ccm ni tatizo ?

Bulaya wala hajachoka mie namuona yuko sawa sawa.Tena namuona yuko vizuri zaidi.Sema huwa hampendi Wabunge wa upinzani.Ungekuwa ukawa usingeongea huo ujinga.
 
Hii ndio shida moja ya kuwa mfuasi wa chama chochote yaani huwezi kuwa huru unakua mtumwa wa mawazo tu ,ujinga ni kusema Bulaya kachoka ,kwani uongo ?? Bulaya wa ccm sio Bulaya wa chadema hiyo iko wazi
Wewe Bulaya utakua humjui vyema
 
Wewe mbona umechoshwa
 
WAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
ndo manake,huyu tunasari naye kwenye jumuia,hatuwezi kumfanyia makeke sana,,aaah yule mswahili alikuwa anachekacheka tu..
Mi simpendi asee
 
Back
Top Bottom