Erick omondi bwana!

mwanaume yeyote ambaye hajawahi kupumuliwa au asiyepumuliwa na anachukia sodoma na gomora, HAWEZI KAMWE KUIGIZA kama mwanamke. ndio maana jotti hadi leo hana mwanamke, anajua mwenyewe anavyoishi.
 
Naona jamaa kaanza kuishiwa na mbinu za kazi. Sasa tunahamia kwa Teacher Mpamire na Kaisie wa Uganda!
 
Watanzania kila mmoja ni hakimu kwa kutoa hukumu za papo hapo......kila mmoja ni mzuri wa kuhukumu pasi na kujitahidi kuisumbua akili yake kidogo kuelewa tukio.....

Ingawa ni dhambi mwanaume kujinasibisha na uanammke lakini vile vile ni dhambi kubwa kumdhania mtu....pasi na ushahidi

Ni unafiki kwa kuwa ingekuwa ni kweli haya mambo tunayachukia kama tunavyojitanabaisha humu mitandaoni...huu uchafu usingeota mizizi huko mitaani kwetu kwa kuwa watu hao wapo na tunaishi na tunakula nao sahani moja.....

Sitosahau siku moja nilipanda dala dala pale magomeni kituo cha mbele akapanda kijana ambaye ni dhahiri kuwa anapakuliwa.....bahati mbaya akaja kukaa kwenye siti yangu....nikahama ile siti nikasimama....yule jamaa akaanza kunitolea maneno machafu sana.....kadri muda ulivyoenda akaungana na watu wengine kwenye gari.....nikapatwa na mshangao kuona kuwa kijana ana wafuasi wengi vile ingawa wengine wanaonekana ni watu ws heshima kabisa.......ikanilazimu niteremkie Shekilango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…